ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
M7 alishaga waambia watu watafute pesa Yesu hawezi kuwapa maishaYesu ni jibu
Kabisa mkuu bila pesa mamb hayaendi hata mapenzi tu bila pesa ni kaz nzito.Kukosa pesa kunadhalilisha mno
Kamwe usismsimnge alie nazo maana hata wewe unatamani ingekuwa nazo.
Tabia za hivyo ni kama kujifariji
Mbona wapo wanaopendana na huku pesa wanazitafuta?Kabisa mkuu bila pesa mamb hayaendi hata mapenzi tu bila pesa ni kaz nzito.