Mishahara ilipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu mitatu

Nadhani time limit ndio hushtua watu ila ajira serikalini jusahaulisha watu kujiandaa. Kazi za miakataba wakati mwngne ni chachu ya maendeleo
Niambie matumizi ya pesa kwa mfano huu..
Una ajira ya mkataba kwa miezi sita, na kila mwezi unalipwa Tsh 1,200,000/=
Muda huo una familia ya mke na mtoto, hauna biashara wala kiwanja chochote mjini.
Je utatumiaje hii ajira ya mkataba ili baadae ujiajiri?
 
Hold on,
Katika hii miezi mitatu nani amkope au adaiwe na mwenzake?
 
Ni uhuru wa mawazo

Lakini suala la mshahara kukaa kwa miezi mitatu ni changamoto mkuu

Kwa watu wengi mishahara huwa unadumu kwa wiki moja na baada ya hapo ni kuganga siku tu

Lakini morali ya kazi itashuka mtu anapomaliza mshahara ndani ya wiki mbili au mwezi maisha baada ya hapo yatakuwa magumu sana watu watakata tamaa ya kufanya kazi

Mimi nafkiri tofauti na wewe badala ya watu kupokea mshahara kwa mwezi watu wapokee kwa wiki hiyo milioni igawanywe kwa nne laki mbili na nusu kila wiki maisha yatakuwa rahisi sana pesa itakuwa na mzunguko mkubwa sana

Mtu akifanya kazi Jumatatu jumanne Jumatano anauona mshahara huu apa karibu anakuwa na nguvu ya kazi kila siku
Hata kibajeti ya matumizi inakuwa rahisi
 
[emoji3581]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…