Mishahara ilipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu mitatu

lkn mishahara mtalipwa mapema tu kila trh 20 ya mwisho wa mwezi. inatpsha.

sema hazina wanatakiwa watoe mikopo bila Riba ila tatizo wafanyakazi wanatakiwa wawe masikini.
 
lkn mishahara mtalipwa mapema tu kila trh 20 ya mwisho wa mwezi. inatpsha.

sema hazina wanatakiwa watoe mikopo bila Riba ila tatizo wafanyakazi wanatakiwa wawe masikini.
Kama maboom ya watoto wa chuo yanavyotoka
 
Mi nashauri wafanye Kama afrika kusini

Yaani mwezi desemba wote wafanykazi qa serikali wapate double salary

Mfano Kama mshahara wako Ni laki 1 Basi desemba utapewa laki2 why!?

Mwezi huo desemba matumizi Ni mengi sana sikukua kibao ,sherehe,Ada na kodi za mapango zinalipwa mwanzoni kabisa mwa mwezi hii inawafanya watu wengi waishi kindezi januari

Yaani Rais atayepitisha hii kitu "tutam-mcement"(kwa sauti ya mwendazake) mioyoni mwetu[emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Iwe Kama sheria au kutegemea na Hali ya uchumi?
 
Kama una uwezo wa kukaa miezi mitatu bila mshahara Basi hizo 250k ziweke Hadi zifike 750k
Shida iko wapi?

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Bora ilipwe mara moja kwa mwaka....hapo unakusanya 12m unasepa mpaka mwakani....imekaaje wadau?
 
Tutashndwa kufanya kazi. Pesa ikiisha morale ya kazi inaisha pia tutaharibu kazi
 
Watakopa tu, wakipata mshahara wanalipia madeni!
 
saccos wanapenda kupata wateja wengi mno[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…