Mishahara imekatwa: Poleni Watumishi watia nia

Mishahara imekatwa: Poleni Watumishi watia nia

Sheria inasema
Mtia nia yoyote aliyeajiliwa anatakiwa aache kazi ndipo aingie kwenye shuguli za siasa
Washukuru ata wamepunguziwa na sio kuachishwa
Kwa hiyo hawajui kusoma na kuandika?Walipataje phd?au ni wale wanaojibu maswali kabla ya kusoma examination instructions?
 
Acha wakome na liccm lao, tena hiyo adhabu haitoshi. Wangetimuliwa kazi kabisa ili akili zikae sawa
 
Mkuu kabla hujalalamika unafahamu taratibu za utumishi wa umma kuhusu mtu ambaye anataka kugombea nafasi yoyote ya uongozi kwa vyama vya siasa ?


Maana tunaweza kuanza kulaumu watu wengine kumbe makosa yapo upande wetu kabisa
 
Walizani 100k zao zingerudi mwezi huu wamekwama sasa waachage kutaka misifa ambayo haina sababu ya msingi. 😆 😆 😆
 
Ccm hoyeee!. Kwani daktari bashiru ally kakurwa hajatoa tamko lolote?
 
Sheria inasema
Mtia nia yoyote aliyeajiliwa anatakiwa aache kazi ndipo aingie kwenye shuguli za siasa
Washukuru ata wamepunguziwa na sio kuachishwa
Umechanganya mkuu, sheria inasema atakaetangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi kuwa mgombea ndio lazima aache kazi
 
Walichagua tamaa.. Wacha iwaletee njaa
 
Back
Top Bottom