Anaetaka kugombea kwamujibu Wa taratibu Za utumishi, waraka wa mwaka 20015 uko wazi mtumishi wa umma anaetaka kugombea nafasi ya kisiasa atapaswa kuomba likizo ya bila malipo na atajibiwa nakuruhusiwa.
Kwa mgombea ubunge likizo itaanza siku litakapovunjwa bunge mpaka siku tume ya uchaguzi itakapotangaza rasmi majina ya wagombea.
Ambae hatatangazwa kuwa mgombea ataomba kwa barua kurudi Kazini na kama nafasi ipo atarudishwa Kazini.
Ninachoona nikwamba taratibu Za utumishi zimetumika Barabara Kama ambavyo wengi mngependa utawala wa Shera ila ikikukata sheria unaanza kulia.
Mimi nakumbuka kabla yakuanza michakato utamishi walituma huu waraka kukumbushia ili tusijisahaulishe lakini bado tunahaha.
Nikionacho watia nia wamerudi Kazini huku muda wao walikizo ya bila malipo haujaisha kwasababu tume bado haijatoa majina ya wagombea.
View attachment 1518093