peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
1.walikopa fedha kununua fomu TSH 100,000Pitapita zangu hapa jijini Mwanza zimenikutanisha na watumishi wa umma wenye huzuni, chuki, hasira na kisasi mioyoni baada ya mishahara yao kukatwa kwa sababu walitia nia.
Wanasema, mishahara yao ndo uhai wa familia zao, ndiyo uzima wa Babu na Bibi zao vijijini. Wanasema wanawagonjwa wanaowategemea.
Wako walioomba ruhusa kwa mujibu wa waraka. Wako waliokuwa likizo za kawaida za mwaka.
Wamerudi makazini, walikipenda Chama cha Mpainduzi, wakavaa nguo za kijani, wakaamuka na CCM OYEEE, NG'ARA CCM ng'ara CCM na mengine kadhaa.
Wafanyakazi wanalia, wanasikitika kwanini imekuwa hivi. Wanaona hata yanayoitwa majonzi ya kitaifa ni majonzi yao wao huku na si ya kila mtu.
Taifa kinahitaji uponyaji
Cc: Katibu Mkuu Utumishi
2.walichangia uchaguzi Jimbo TSH 1,000,000
3. Wamekosa Kura za maoni
4.wale walio tia Nia ubunge Jimbo wamekosa mishahara baadhi
5.wale walio tia Nia ubunge Vito maalum hawakukatwa hata Senti tano
6. Kilio ni kikubwa Ila kwa baadhi ya watia Nia kupitia Sheria moja iliyopo,chama kimoja ,nchi moja.
7.watumishi Wana vilio viwili kufiwa na rais wao mstaafu na kukosa mishahara na hawana fedha hata za kula,Kodi za nyumba,nauli na Ara za watoto