Kwa hiyo hawajui kusoma na kuandika?Walipataje phd?au ni wale wanaojibu maswali kabla ya kusoma examination instructions?Sheria inasema
Mtia nia yoyote aliyeajiliwa anatakiwa aache kazi ndipo aingie kwenye shuguli za siasa
Washukuru ata wamepunguziwa na sio kuachishwa
Waliopata 0 wamesamehewa.Nine angalia mshahara wangu haujakatwa. Yaani tungeenda mpaka mahakama ya dunia
Kwa hiyo hawajui kusoma na kuandika?Walipataje phd?au ni wale wanaojibu maswali kabla ya kusoma examination instructions?
Nilitia Nia... Nikaomba ruhusa....
Nimelipwa mshahara..
Tuache upumbavu wA kupakinishana.
Anatakiwa kuacha kazi pindi tu chama chake kitakapo mpa ridhaa ya kugombea na kuthibitishwa na tume ya uchaguziSheria inasema
Mtia nia yoyote aliyeajiliwa anatakiwa aache kazi ndipo aingie kwenye shuguli za siasa
Washukuru ata wamepunguziwa na sio kuachishwa
Mtumishi wa umma haruhusiwi kujihusisha na SIASANi sheria ipi walivunja mpaka wakasimamishiwa mishahara? kwani hawawezi kushitaki?
Anatakiwa kuacha kazi pindi tu chama chake kitakapo mpa ridhaa ya kugombea na kuthibitishwa na tume ya uchaguzi
Mh...ni sheria batili.Sheria inasema
Mtia nia yoyote aliyeajiliwa anatakiwa aache kazi ndipo aingie kwenye shuguli za siasa
Washukuru ata wamepunguziwa na sio kuachishwa
Umechanganya mkuu, sheria inasema atakaetangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi kuwa mgombea ndio lazima aache kaziSheria inasema
Mtia nia yoyote aliyeajiliwa anatakiwa aache kazi ndipo aingie kwenye shuguli za siasa
Washukuru ata wamepunguziwa na sio kuachishwa