Mishahara imekatwa: Poleni Watumishi watia nia

1.walikopa fedha kununua fomu TSH 100,000
2.walichangia uchaguzi Jimbo TSH 1,000,000
3. Wamekosa Kura za maoni
4.wale walio tia Nia ubunge Jimbo wamekosa mishahara baadhi
5.wale walio tia Nia ubunge Vito maalum hawakukatwa hata Senti tano
6. Kilio ni kikubwa Ila kwa baadhi ya watia Nia kupitia Sheria moja iliyopo,chama kimoja ,nchi moja.
7.watumishi Wana vilio viwili kufiwa na rais wao mstaafu na kukosa mishahara na hawana fedha hata za kula,Kodi za nyumba,nauli na Ara za watoto
 
Maadili ya watumishi wa umma 2005 kipengele cha uadilifu

Standing order inaruhusu watumishi kuwa wanasiasa ila kuna miiko wamekataza. Na wanaruhusiwa kugombea nafasi za kisiasa, pale wanapokuwa wameteuliwa ndipo utumishi unakoma.
 
Harafu wanatakiwa wamuunge mkono magufuli. Huu uchaguzi kazi ipo. Uchumi wa kati oyeee
 
Hapo mwisho umepasoma inapoeema kwa kuzingatia sheria na utaratibu???
Sheria lazima iendane na katiba.Katiba ndio sheria mama.Katiba inasema kuwa kila mtu ana haki ya kuchaguliwa na kuchagua ila hiyo sheria yenu inaminya haki ya mwalimu pale gairo kugombea.Mishahara ingeanza kukatwa baada ya kampneni kuanza rasmi na mtu ameteuliwa na chama kugombea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…