Hilo ndo jibu nililokuwa nalitaka sasa wengine wanazunguka tu. Kwa maana hiyo nyota sio kigezo cha kuwa na mshahara mkubwa?Yule mwenye lisaa(korokoro) anaitwa Mteule wapo wa aina 2 daraja la kwanza na daraja la pili mshahara wao ni mkubwa kuliko huyo luten usu.
kama siyo siri umeuliza nini sasa, ina maana unajua
Hahaha!Huyo Unayemdai Unadhani Akiuona Uzi Huu Atakulipa Mkuu? Ndiyo Umeshajipalia Mkaa. Hao Jamaa Huwa Hawakopesheki Na Ni Watata!
Ahsante kwa ufafanuzi nilikuwa nachanganya na SamejaKweli umesahau maana unakosoa ukweli na umesahau uongo uliotaka kuandika.WO1 na WOII ndio kifupi cha afisa mteule daraja la kwanza na daraja la pili.
Yule mwenye lisaa(korokoro) anaitwa Mteule wapo wa aina 2 daraja la kwanza na daraja la pili mshahara wao ni mkubwa kuliko huyo luten usu.
Hawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.
Umejuaje wewe acha umbea, mshahara ni siri ya mtu
Hahaha! Thanx for your time mkuuHawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa
mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.
uko sahihi kabisa, Wote pamoja wanaitwa Sergeant Major lakin tumezoea mtaani kuwaita SirMajorKweli umesahau maana unakosoa ukweli na umesahau uongo uliotaka kuandika.WO1 na WOII ndio kifupi cha afisa mteule daraja la kwanza na daraja la pili.
Hawa wasikuumize kichwa bana,mishahara ya jeshi ni kama ifuatavyo:Jenerali mil 6 kwa mwezi nje ya marupurupu.Brigedia Jenerali mil 5 kwa mwezi nje ya marupurupu.Luteni usu mil 4 kwa mwezi nje ya marupurupu.Commando mil 2.5 kwa mwezi.Private laki 9.5 kwa mwezi na bia bure kambini.Mkuu wa majeshi mil 15 kwa mwezi nje ya marupurupu na ofa kibao za kufa mtu.wanalipwa hivyo ili wasipindue nchi,nadhani sasa umeelewa.
Ningependa kujua tu jeshini JWTZ kati ya Luteni usu(nyota moja) labda mwenye miaka miwili tangia aanze kazi na Yule askari mwenye saa mkononi na kirungu sijui cheo chake kinaitwaje mara nyingi huwa ni watu wazima wenye miaka mingi kazini nani ana mshahara mkubwa? Je mishahara ya jeshi inaangalia umri wa kazi au cheo cha askari?
Karibuni kwa ufafanuzi
Hakuna mwenye uwezo wa kuajiri wanajeshi dunia hii kijana,unaweza calculate value ya uhai wa mtu? kuwa mwanajeshi ni kurisk maisha.so kwa uelewa wangu kuhusu jeshini hawana mshahara wanaposho tuu ndio maana naskia ata hawaajiriwi..labda nenda upanga pale makao makuu yao kaulizie posho yao sh. ngapi sie ata atujui.
kama siyo siri umeuliza nini sasa, ina maana unajua