Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Walisema serikali hii ni makini siri haziwezi kuvuja... How come now? Mwezi Wa name tumesikia kuna makato yasiyo na Maelezo... Au ndio waliopunguziwa hao???

Nategemea police kulipwa zaidi... Rushwa imekuwa ikinyima watu haki
 
Kwa wenye akili tumesha kusoma mapema
 
Walisema serikali hii ni makini siri haziwezi kuvuja... How come now? Mwezi Wa name tumesikia kuna makato yasiyo na Maelezo... Au ndio waliopunguziwa hao???

Nategemea police kulipwa zaidi... Rushwa imekuwa ikinyima watu haki
Police huwa hatuchukui rushwa ile hela ya kubrashia viatu au hukusikia Dr.magufuli alivosema

Kyenekyana mkighanile une...
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…