Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 938
- 581
Nitaamini kama nikiona "walaka wa mishahara mipya"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhamisho tungoje mwakan sasa tunadeal na misharaha ili mtulie makazinUhamisho je ataruhusu kwa watumishi Wa umma?
Kwa wenye akili tumesha kusoma mapemaHayawi hayawi sasa yamekuwa! Watumishi wa umma kaeni mkao wa kupokea mishahara minene. Kwa muda mrefu sasa tangu Dr Magufuri aanze kurekebisha mifumo ya utawala wa nchi, watumishi wa umma walionekana kama wametengwa sana hadi baadhi yao kupelekea kukata tamaa ya maisha. Sasa mkae mtulie…mambo yenu yameiva!
Kuna taarifa kwamba Serikali imepanga kuongeza mishahara ya umma maradufu ifikapo September baada ya kufanikiwa kuwaondoa watumishi na wanafunzi hewa na kupunguza mishahara ya baadhi ya watumishi waliokuwa wakilipwa mamilioni ya shilingi huku wengine wakilipwa mishahara uchwara, hivyo fedha zote zilizookolewa zimeelekezwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ambao wamekuwa wakilalamikia udogo wa mishahara kwa muda mrefu. Aidha, taarifa zinadai kuwa watumishi wote wanaostahili kupanda vyeo/madaraja watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara mipya mara moja.
Ifahamike kwamba wakati Dr Magufuri anaomba ridhaa ya kuongoza nchi hii aliwaahidi maslahi bora watumishi wa umma, hivyo ahadi yake ndio inaanza kutekelezwa sasa. Kumbe lilikuwa ni suala la wakati tu. Sasa civil service imeanza kupata mwanga uliokuwa umekosekana kwa muda mrefu na kupelekea watumishi wa umma kuvunjika mioyo ya kuwatumikia wananchi. Hongerza sana Dr Magufuri kwa kuwajali watumishi wa umma.
Hutaki au?Umetumwa?!
Mkuu mbona wewe hujui nini mshikaji ana maanisha?Kwa bajeti ipi iliyopitishwa na bunge, itakuwa ni kuingilia muhimili mungine wa dola
Asante sana kwa kutufungua masikio na macho mkuumkuu, kuanzia septemba mishahara itapanda na watumishi wanaostahili kupanda vyeo watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara yao mara moja.
Police huwa hatuchukui rushwa ile hela ya kubrashia viatu au hukusikia Dr.magufuli alivosemaWalisema serikali hii ni makini siri haziwezi kuvuja... How come now? Mwezi Wa name tumesikia kuna makato yasiyo na Maelezo... Au ndio waliopunguziwa hao???
Nategemea police kulipwa zaidi... Rushwa imekuwa ikinyima watu haki
Wewe naona cdm ingekuwa mwanadamu ingekuoa maana kila mtu ni cdm! Huyo mleta mada siyo cdmYaani nyie machadema hamna kabisa ari ya kutumikia wanyonge, jambo la mshahara we unaleta siasa zako za Maji taka!
Lkn ujumbe umefikaAsamehewe hang over za wikiendi bado zinamsumbua
Kujiongeza ni muhimu sanaIkiwa hivi, hii itakuwa ni habari njema
Jiongeze pale alipo ishia mwalimuKindly let me confirm your thread is true I think all of us we will praise Dr Magufuli. kutokusafiri nakukaa ikulu muda mrefu ni siri ya hayo uio andika
Kila kitu ni idodomyaUhamisho je ataruhusu kwa watumishi Wa umma?
VIP kuhusu ajira mpya?nikweli wala sio utani
Ticha kwa uongo upo vizuri sana!!!Wapandishe!mie nina wapangaji wangu watumishi wa umma,wanailalamikia sana serikali kuto wajali!ebu wapeni stahiki zao lawama ziishe.!