Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
TE="tpaul, post: 17380555, member: 9021"]mkuu, kuanzia septemba mishahara itapanda na watumishi wanaostahili kupanda vyeo watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara yao mara moja.[/QUOTE]
Umeulizwa simple, question, imeputishwa na bunge lipi hiyo increament?
 
Naamini ktk account yangu ya mshahara itakavyonisomea hiyo september mwishoni.... Sio vinginevyo... Ndio niamini kilichotetesishwa....
 
mkuu, kuanzia septemba mishahara itapanda na watumishi wanaostahili kupanda vyeo watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara yao mara moja.
Vipi kuhusu uhamisho wa watumishi
 
TE="tpaul, post: 17380555, member: 9021"]mkuu, kuanzia septemba mishahara itapanda na watumishi wanaostahili kupanda vyeo watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara yao mara moja.
Umeulizwa simple, question, imeputishwa na bunge lipi hiyo increament?[/QUOTE]
Sio kila kitu kinapita bungeni kwan kuhamia Dodoma binge lipi limepitisha
 
Kwa bajeti ipi iliyopitishwa na bunge, itakuwa ni kuingilia muhimili mungine wa dola

Mkwepa kodi,
Yawezekana kabsa ni habari za kweli! Kama JPM kafanikiwa kuondosha Watumishi hewa 16,400 waliokuwa wanakula waastani wa 16B kwa mwezi atashindwaje kuongeza hii mishahara kwa kutumia hii 16B iliyokuwa inaliwa na hewa?
Ni swala la kujipanga.Fedha si tatizo maana Bunge la Bajdti lililokaa April-July 2016 likapitisha Bajeti 2015/6 zikiewemo hizi 16B zikiwa zimetengwa kulipa Watumishi hewa 16,000!

Kama JPM wameliona hilo litakuwa na tija sana maana watumishi badala ya kuipata fedha hii kwa kupitiwa Watu hewa sasa wataipata moja kwa moja kwene akaunti zao bila kupitia akaunti hewa za watumishi na Wanafunzi hewa!
Tusubiri.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Watumishi wa umma kaeni mkao wa kupokea mishahara minene. Kwa muda mrefu sasa tangu Dr Magufuri aanze kurekebisha mifumo ya utawala wa nchi, watumishi wa umma walionekana kama wametengwa sana hadi baadhi yao kupelekea kukata tamaa ya maisha. Sasa mkae mtulie…mambo yenu yameiva!


Kuna taarifa kwamba Serikali imepanga kuongeza mishahara ya umma maradufu ifikapo September baada ya kufanikiwa kuwaondoa watumishi na wanafunzi hewa na kupunguza mishahara ya baadhi ya watumishi waliokuwa wakilipwa mamilioni ya shilingi huku wengine wakilipwa mishahara uchwara, hivyo fedha zote zilizookolewa zimeelekezwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ambao wamekuwa wakilalamikia udogo wa mishahara kwa muda mrefu. Aidha, taarifa zinadai kuwa watumishi wote wanaostahili kupanda vyeo/madaraja watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara mipya mara moja.


Ifahamike kwamba wakati Dr Magufuri anaomba ridhaa ya kuongoza nchi hii aliwaahidi maslahi bora watumishi wa umma, hivyo ahadi yake ndio inaanza kutekelezwa sasa. Kumbe lilikuwa ni suala la wakati tu. Sasa civil service imeanza kupata mwanga uliokuwa umekosekana kwa muda mrefu na kupelekea watumishi wa umma kuvunjika mioyo ya kuwatumikia wananchi. Hongerza sana Dr Magufuri kwa kuwajali watumishi wa umma.


!
!
Aisee itapanda milima au miti?
 
Jamaa limejiamkia huko likaamua liteke akili ndogo kwa muda!

Hii nchi kweli matumaini yamepotea hadi mtu akiandika thread akiwa kitandani hana hili wala lile, hajui lolote ndani ya nchi watu wanakuwa na matumaini hadi wengine wanasherekea! Tanzania Tanzania...!
 
Uongo kama huu,ukikamatwa wakuue kabisa,watumishi wa umma wamekata tamaa mno ukiwadanganya namna hii halafu waje wakute mshahara uleule wengi watazimia kama walivyozimia salary ya mwez huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom