Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Watumishi wa umma kaeni mkao wa kupokea mishahara minene. Kwa muda mrefu sasa tangu Dr Magufuri aanze kurekebisha mifumo ya utawala wa nchi, watumishi wa umma walionekana kama wametengwa sana hadi baadhi yao kupelekea kukata tamaa ya maisha. Sasa mkae mtulie…mambo yenu yameiva!

Kuna taarifa kwamba Serikali imepanga kuongeza mishahara ya umma maradufu ifikapo September baada ya kufanikiwa kuwaondoa watumishi na wanafunzi hewa na kupunguza mishahara ya baadhi ya watumishi waliokuwa wakilipwa mamilioni ya shilingi huku wengine wakilipwa mishahara uchwara, hivyo fedha zote zilizookolewa zimeelekezwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ambao wamekuwa wakilalamikia udogo wa mishahara kwa muda mrefu. Aidha, taarifa zinadai kuwa watumishi wote wanaostahili kupanda vyeo/madaraja watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara mipya mara moja.

Ifahamike kwamba wakati Dr Magufuri anaomba ridhaa ya kuongoza nchi hii aliwaahidi maslahi bora watumishi wa umma, hivyo ahadi yake ndio inaanza kutekelezwa sasa. Kumbe lilikuwa ni suala la wakati tu. Sasa civil service imeanza kupata mwanga uliokuwa umekosekana kwa muda mrefu na kupelekea watumishi wa umma kuvunjika mioyo ya kuwatumikia wananchi. Hongerza sana Dr Magufuri kwa kuwajali watumishi wa umma.
T͢u͢n͢a͢s͢u͢b͢i͢ri͢ a͢j͢i͢ra͢, t͢u͢m͢e͢c͢h͢o͢k͢a͢ k͢u͢k͢a͢a͢ m͢t͢a͢a͢n͢i͢!
 
Sisi wakulima tutakumbukwa kuongezewa bei ya kahawa?
mkuu ninyi endeleeni kuvua "nshonzi" bei ya kahawa ni sh 200/=/kg, na msinijaribu kwa kuleta fyoko fyoko na kuuza uganda, tukiwakamata mtazikoboa kwa meno!
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Watumishi wa umma kaeni mkao wa kupokea mishahara minene. Kwa muda mrefu sasa tangu Dr Magufuri aanze kurekebisha mifumo ya utawala wa nchi, watumishi wa umma walionekana kama wametengwa sana hadi baadhi yao kupelekea kukata tamaa ya maisha. Sasa mkae mtulie…mambo yenu yameiva!

Kuna taarifa kwamba Serikali imepanga kuongeza mishahara ya umma maradufu ifikapo September baada ya kufanikiwa kuwaondoa watumishi na wanafunzi hewa na kupunguza mishahara ya baadhi ya watumishi waliokuwa wakilipwa mamilioni ya shilingi huku wengine wakilipwa mishahara uchwara, hivyo fedha zote zilizookolewa zimeelekezwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ambao wamekuwa wakilalamikia udogo wa mishahara kwa muda mrefu. Aidha, taarifa zinadai kuwa watumishi wote wanaostahili kupanda vyeo/madaraja watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara mipya mara moja.

Ifahamike kwamba wakati Dr Magufuri anaomba ridhaa ya kuongoza nchi hii aliwaahidi maslahi bora watumishi wa umma, hivyo ahadi yake ndio inaanza kutekelezwa sasa. Kumbe lilikuwa ni suala la wakati tu. Sasa civil service imeanza kupata mwanga uliokuwa umekosekana kwa muda mrefu na kupelekea watumishi wa umma kuvunjika mioyo ya kuwatumikia wananchi. Hongerza sana Dr Magufuri kwa kuwajali watumishi wa umma.
Yaani ndugu yangu unaongea ishu serious with no evidence....unawachukuliaje watumishi wa umma kwa mfano....kama ma'housegirl ama? wa kushobokea maneno hewa?
 
Asee bora ametukumbuka maana hali ilikua mbaya Sanaa uku maofisini
Umeshaiona kwani au bado ipo kwenye ahadi? Subiri uione mkuu maana unaweza kupanga bajeti kabla hujaiona na mambo yakaja vulugika
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa! Watumishi wa umma kaeni mkao wa kupokea mishahara minene. Kwa muda mrefu sasa tangu Dr Magufuri aanze kurekebisha mifumo ya utawala wa nchi, watumishi wa umma walionekana kama wametengwa sana hadi baadhi yao kupelekea kukata tamaa ya maisha. Sasa mkae mtulie…mambo yenu yameiva!

Kuna taarifa kwamba Serikali imepanga kuongeza mishahara ya umma maradufu ifikapo September baada ya kufanikiwa kuwaondoa watumishi na wanafunzi hewa na kupunguza mishahara ya baadhi ya watumishi waliokuwa wakilipwa mamilioni ya shilingi huku wengine wakilipwa mishahara uchwara, hivyo fedha zote zilizookolewa zimeelekezwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma ambao wamekuwa wakilalamikia udogo wa mishahara kwa muda mrefu. Aidha, taarifa zinadai kuwa watumishi wote wanaostahili kupanda vyeo/madaraja watapandishwa na kuanza kulipwa mishahara mipya mara moja.

Ifahamike kwamba wakati Dr Magufuri anaomba ridhaa ya kuongoza nchi hii aliwaahidi maslahi bora watumishi wa umma, hivyo ahadi yake ndio inaanza kutekelezwa sasa. Kumbe lilikuwa ni suala la wakati tu. Sasa civil service imeanza kupata mwanga uliokuwa umekosekana kwa muda mrefu na kupelekea watumishi wa umma kuvunjika mioyo ya kuwatumikia wananchi. Hongerza sana Dr Magufuri kwa kuwajali watumishi wa umma.
Hivi bunge limekaa lini likaridhia hayo unayosema. Acha mihemko kijana kama huna uzi wa maana bora ukae kimya
 
Serikali ipo hoi kifedha hilo ongezeko la mishahara litatokea wapi
 
Usikose kujua mambo mbalimbali yaliyojiri na yanayotarajiwa katika Utumishi wa Umma nchini. Msikilize Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) moja kwa moja (LIVE) ifikapo saa kumi na mbili jioni leo Agosti 28, (12:00 jioni) katika Runinga ya TBC. Usikose!!! copy an paste
 
Hakukuwa na watumishi na wanafunzi hewa wengi kiasi cha kufanya hela iliyookolewa iweze kuongeza mishahara kiasi hicho.

Siamin kama hili ni kweli. Hela iliyookolewa bora iende kuboresha elimu, hasa hasa msingi na secondary kuliko kuongeza mishahara

Kutumia hiyo hela kuongeza mishahara kutasababisha maisha kuwa magumu kwa wasio na kazi, maana kutaambatana na kupanda kwa gharama za vitu vingine

Cha kufanya kingine ni kuendelea kubana ufujaji wa fedha za serikali na madudu Mengine ya aina hiyo
 
Usikose kujua mambo mbalimbali yaliyojiri na yanayotarajiwa katika Utumishi wa Umma nchini. Msikilize Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) moja kwa moja (LIVE) ifikapo saa kumi na mbili jioni leo Agosti 28, (12:00 jioni) katika Runinga ya TBC. Usikose!!! copy an paste
Asante kwa taarifa
 
Katelwe engata
poa mkuu, ngata ndo nishapigwa hivyo, wewe tujumuike pamoja tuu, jamaa huwa wanamwonea mkulima siku zota si wa kahawa tuu hata wa mazao mengine. komesha ilikuwa miaka ya 2000 kilo ilipo shuka hadi sh.30/= unauza gunia la kilo 60 unalipwa sh.1800/- tu!!!..... yahani buku na mia nane tu. kwanini mibuni isikatwe???.
 
Watuwache na kahawa zetu tukaange tupikie kahawa ya asubuhi maana ni nyepesi kuinywa bila sukari kwani sukari sasa ni kizungumkuti
 
September 1:
Maandamano ya UKUTA nchi nzima.

September 1:
Siku ambayo jeshi la wananchi Tanzania litafanya usafi huko Arusha.

September 1:
Imetajwa kua siku ya kuongezwa mishahara kwa wafanyakazi wa uma, ikiwemo kupandishwa vyeo kwa wanao stahili.

September 1:
Dr Slaa ana timiza mwaka mmoja kuanzia pale 1 September 2015, alipo tangaza rasmi kujingatua Chadema na kujiondoa kwenye siasa.
Pia ni kupatwa kwa jua
Aliyekwambia bajet itabadilika ni nani.
Kilichobalika ni ile saving kupandishwa kwa wengine bunge la nini hapo.

Muwe mnakaa kimya kama hamuelewi
 
Kwa nini kila kitu kinaangukia September mosi?
hii september mosi sasa itafanywa kuwa siku ya uhuru, utashangaa ndani ya hizi tatu kabla ya UKUTA watakuambia tumefuatilia katika historia september 1 ni siku ya uhuru desember ilikuwa hitimisho tu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom