Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

Status
Not open for further replies.
Ajira pia zimesimamishwa kwa kudai wanahakiki wafanyakazi. Kwa Taifa linalojitambua inawezekana kabisa kufanya uhakiki wa Wafanyakazi huku likiendelea kuajiri wafanyakazi wapya bila tatizo lolote lile.



Madeni yenyewe yamewashinda kuwalipa watumishi ,miaka nenda rudi ni uhakiki na ahadi zizizo na ukomo;je Leo uwezo wa kuongeza mishahara watatoa wapi?
 
Bila kuidhinishwa na Bunge? Haimo kwenye bajeti labda upelekwe upya pamoja na gharama za kuhamia Dodoma! Kurupuka at work once again!
Aisee sasa ndo nimehitimisha kuamini bavicha ni zero, hawajui kitu kazi kupinga tu na kushadadia mambo ndo mana mbowe anawaburuza, pole sana kijana, nenda kajifunze bajeti ya mishahara ikoje
 
kwani wewe ndo msemaji wa utumishi
punguza kihele hele
mambo yameongelewa kwenye vikao vya ndani we umelurupuka kuja kuongea hapa
nani kakutuma?
nyie ndo majipu pumbavu kabisa
mtumishi wa uma uwe na staha
Majitu mengine ni kama zuzu tu
natamani nikujue ili uwajibishwe mshenzi Mkubwa we...
Umeniudhi sana
 
kwani wewe ndo msemaji wa utumishi
punguza kihele hele
mambo yameongelewa kwenye vikao vya ndani we umelurupuka kuja kuongea hapa
nani kakutuma?
nyie ndo majipu pumbavu kabisa
mtumishi wa uma uwe na staha
Majitu mengine ni kama zuzu tu
natamani nikujue ili uwajibishwe mshenzi Mkubwa we...
Umeniudhi sana
Au niweke na waraka kabisa? Mbona matusi na povu juu? Utumishi wa umma umeukuta na utauacha! Sioni kosa la mleta mada!!
 
Aisee sasa ndo nimehitimisha kuamini bavicha ni zero, hawajui kitu kazi kupinga tu na kushadadia mambo ndo mana mbowe anawaburuza, pole sana kijana, nenda kajifunze bajeti ya mishahara ikoje
Endelea kusubiri hiyo ndoto kama ulivyoiamini.nakutakia heri.
 
Umeulizwa simple, question, imeputishwa na bunge lipi hiyo increament?
Sio kila kitu kinapita bungeni kwan kuhamia Dodoma binge lipi limepitisha[/QUOTE]

Hakuna fedha ya serikali inayoweza kutumiwa bila ya kupitishwa na bunge la bajeti, na kama hulijui hili siwezi kukusaidia kwani hilo bunge la bajeti linaendeshwa kwa kodi yako. Hilo la kuhamia Dodoma lina sheria yake kabisa ambayo ilipitishwa bungeni kipindi cha Mwl Nyerere, kwa hiyo kinachofanyika sasa ni kupasha kiporo moto ili kiliwe. Pia kwa kuwa hakuna fedha zilizotengwa na bunge la bajeti lililoisha majuzi utakuja kuona jinsi zoezi hili litakavyoendeshwa kwa kuviziana...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom