Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
bado kimya mpaka leo
 
Vipi taarifa zilizovuja ?!!!? Ziba koromeo sasa.
 
Kama walimu wakiongezwa mishahara nami nabadili fani.

Mkuu mbona suala la watumishi kongezwa mishahara ni jambo la kheri? Sasa kwa nini mnagombana?
Mimi niliuliza mishara ilikuaje kabla ya tetesi ya mabadiliko iliyoletwa na mtoa mada,halafu akaniquote kwa majibu yake mabaya
 
Ikiwa hivo mambo safi sanaa,walimu ni watu muhimu sana waache waongezewa tu mishahara yao.
 
Siku hizi hakuna mwalimu wa vidudu walimu woote wanapewa mafunzo ya elimu awali ni uchagiaji wa masomo tu na mapenzi ya mwalimu kufundisha huko
 
Wewe kama huna thread ya kuweka kalale huu uzi wa zamani sana leo ni november
 
Nilimkuta kichaa kalala jalalani huku akionekana kutabasamu, atakuwa anaota au kuna jambo alikuwa anafurahia ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…