Tetesi: Mishahara mipya kwa watumishi wa umma

Status
Not open for further replies.
Hizi scales ni ktk sekta ya ualimu, I think. Japo hii kitu ni ya kwako tu, haina uthibitisho na jamaa alishasema hakuna nyongeza za mishahara kwa watumishi wa umma!!

Tanzania Government Teachers' Salary (TGTS)
Ok, nmekupata
 
 
ungeweka post ya kuonyesha mishahara imekatwa na kupunguzwa watu wasingekuuliza hyo habari umeipata wapi, moja kwa moja wangekuja na hoja nyingi za kulaumu serikali!! umeweka post inayoonyesha mishahara kupanda watu wanabisha na kutaka ushahidi, na wengine wanakuambia usingeweka hii post mpaka usubiri wathibitishe!! je watu wanasubiri tu kusikia mambo mabaya ili wapate cha kupost na kucomment, au?
 
Wale wanaolipwa mil 40 wako kwenye TGTS ya ngapi ?
 
Ndoto hizi jamani, amesha sema mtukufu hakuna ongezeko la mshahara Julay Angalieni namna nyingine ya kuongeza kipato tuu.
 
Unatuthibitishia wewe kama nani? au upo kitengo kinachohusika na mishahara?
Naomba niwathibitishie habari hizi nikwamba hakuna uthibitisho Wa kisemwacho, nimtu kajitungia Kama bongofleva wanavotungaga nyimbo zakujipaisha
 
Hizo tetesi hazina uhusiano na ukweli. imetangazwa mambo ya mishahara kupanda yamesitishwa kwa muda
 
Taabu inakuja pale anapompita mwenye degree ya uhasibu toka SAUT. Huyu mhasibu ataona hathaminiwi hivyo atasepa na fedha yetu.

Hivi mhasibu na Mwl wa nursery yupi bora? Mi naona Mwl Wa nursery ni muhimu zaidi kuliko hata Wa sekondar huyu ndie anayeingiza herufi na namba kichwani kwa mtoto mapema
 
Hakuna haja ya kuumiza kichwa subiria mwisho wa mwezi wa saba utajua ukweli kwny muamala wako.Lakini jiandae kisaikolojia
 
Mnasubiri mshahara mpya kama Mlinzi anavyosubiri asubuhi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…