Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

Japo 23/23 ni sawa na 30/30 lakini kulipwa 23/23 ni afadhali kwa kuwa ile wiki moja i. e. 23-30 hatuihesabu kwa kuwa ukiwa na mshiko inapita haraka sana. Kwa hiyo mahesabu yetu yanaanza tarehe 1 - 23 wiki tatu kitu kinasoma
Akili fupi... kwahiyo ikiwa tar 30 hiyo wiki moja huipati hapo?
 
Reactions: Pep

Wengine mshara tumeuona mchana huu, umeshatoka tayari! Nenda chap chap na kadi ya ATM kwenye tawi lililo karibu nawe!
 
Sio rahisi ila ushauri mzuri
 
wanarekebisha kwanza mishahara ya wanaopanda madaraja(wanaostahili)

kwaiyo mshahara mpk tar 25 au 26
 
halaka ya nin bloo
jumatat nay aski ya kazi kumbuk haya wanaoproxess naoni wqatu wana choka
 
Hata mimi nimeshangaa, watu walipwe wkend wafanye matumizi jumatatu kazi ziendelee......au wanafikiri kuna muda wa kupoteza, hata biashara huku kwenye minada wkend hii naona zimedoda..
 
Mwisho wa mwezi bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…