Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Acha kufuatilia masuala binafsi ya mtu

Una akili kweli wewe?. Kwa nini usiende kucoment kwenye facebook unakuja huku? Unaita haya ni mambo ya mtu binafisi? Mtu ninayemlipa mimi na wengine kwa kodi zetu? Uelewa wako uko wapi? kwenye makalio?? tafuteni forum zinazoenda na uelewa wenu, majungu, ushambenga , ufitini nk sio humu.........
 
Una akili kweli wewe?. Kwa nini usiende kucoment kwenye facebook unakuja huku? Unaita haya ni mambo ya mtu binafisi? Mtu ninayemlipa mimi na wengine kwa kodi zetu? Uelewa wako uko wapi? kwenye makalio?? tafuteni forum zinazoenda na uelewa wenu, majungu, ushambenga , ufitini nk sio humu.........

Hana Akili unaweza ukakuta ndio jifisadi limejifanya tu kutuwekea Mikalio,Pambafu huna hata uchungu!!!mkwepa kodi mkubwa wewe ,,,
 
Ezan bado uko gizani hakuna siri katika mshahara nenda tu kule Utumishi watakupa Scales na mishahara ya watendakazi wote wa serkali. Waziri hazidi Tsh4m. Ngazi za mishahara ni wazi ikiwa ni pamoja na mawaziri hakuna siri ila mshahara wa mtu binafsi ndiyo siri.

Kitu kingine ambacho huwezi kukipata ni marupurupu anayopata mtumishi hata kama ni waziri kwani yanatofautiana sana tokana na majukumu
 
Wana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.

Labour law inakubali kitu hiki? Wewe mshahara wako ni siri au sio siri?
 
Hawa jamaa wanakula zaidi kwenye marupurupu kuliko mishahara. Wengi hata mishahara hawajui kama imeingia benki kwa sababu wanapata pato kubwa kwenye marupurupu.

Hii ndio maana kuna safari nyingi na vikao vingi sana kwa maofisa wa serikali.
 
wanaojua mishahara ya maceo wao waweke hapa tutaijua tuu. Serikali haitoi
 
wahuni hawa wameshindwa kuweka wazi mikataba ya madini ndo waweke wazi mishahara yao? ila tetsi nlizonazo ni kuwa PM wa bongo anaweka takoni mil 28 kama mshahara wake tu (toa marupurupu, safari, mafuta ya bure n.k nadhani we unaelewa)
 
mbona nchi za watu kila kitu kipo wazi............?....sisi tunaficha nini?
 
QUOTE=terabojo;1308004]Wana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.[/QUOTE]

Je wewe uko tayari kutoa siri yako na mke wako ya ndani?:embarrassed:
 
Aiseeee hawa jamaaa mishahara na marupurupu sio chini ya 15milion,niliona mchanganua wa jamaa wa TANROAD aitwae MREMA weee unakaribia 30 milion kwa mwezi hii ndio bongo haki sawa kwa wote hakuna.so why kila mtu nataka kuwa kiongozi
 
Lakini bwana mwanadamu haridhiki ukiona utendaji wa hao akina Mrema siyo proportional na output kwani mabarabara potholes kibao na kila mahali na lami imemeguka wao wametulia kwenye kiyoyozi na VX inamsubiri nje. wizi mtupu !!!!.
 
Harafu huyu MREMA WA TANROAD nafikiri kawekwa pale kwa masilahi ya wazee kwani kwa kila contract anayofanya na wachina
anapewa 3% ya value of contract je ni Barabara ngapi zinajengwa nchini huyu mtu ni bilioner haondoki pale fatilia taarifa hii
kuna kampuni ya SOUTH AFRICA INAITWA ........ WALIJENGA BARABARA YA NZEGA -TINDE-SHINYANGA WALIPOMALIZA ILE BARABARA HAWAKUTAKA KUOMBA NYINGINE KUTOKANA NA HUYU MTU NA WATENDAJI WAKE KUTAKA % HATA MAHALA PASIPO NA % PAMOJA NA HAWA
JAMAA KUTOA TAARIFA HIZO KWA WAZEE LAKINI HAWAJARI. KWA UFIPI WANA JF TUTAFUTE NJIA YA KUWAONDOA HAWA JAMAA NINAZAO
TAARIFA NYINGI TOKA KWA WACHINA WA BARABARA.]
 
Waziri, mkuu wa mkoa, wilaya, mkurugenzi wa wilaya, mbunge mshahara, ulikuwa ni 2M before july, baada ya nyongeza sijajua, ila tofauti yao ni marupurupu tuu.
 
QUOTE=terabojo;1308004]Wana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.

Je wewe uko tayari kutoa siri yako na mke wako ya ndani?:embarrassed:[/QUOTE]

Kwanza nianze kwa kusema mshahara ni siri ya mfanyakazi binafsi na mwajiri wake.
Mshahara wa mtu binafsi aliyeajiriwa katika mashirika, makampuni nas serikalini ni siri yake na mwajiri wake mfano mkurugenzi Mkuu wa Vodacoma, mwajiri wake anajua anampa kiasi gani inaenda hivyo hadi ngazi ya chini

LAKINI wale ambao sisi wananchi tumewaajiri (raisi mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa n.k) na wanalipwa kwa kodi zetu na ni sisi tunawaweka madarakani kwa kura zetu maana yake sisi ndiyo waajiri wake hivyo tunatakiwa kujua kila kitu.

Tatizo wanafanya siri na kutufanya sisi tuliowaajiri na kuwalipa mshahara ni wajinga kwa vile wako madarakani, lakini siku tukiwatoa kwa kuwanyima kura ndiyo hushtuka na kujua kweli sisi ndiyo waajiri wao. Nina amini kama itatokea siku tukichachamaa kujua mshahara na marupurupu yote kwa kila mmoja kwa kuwatishia kuwaondoa madarakani wataweka hadharani kila kitu. Lakini kwa sasa wanajua ni longo longo wahatatoa kamwe na hata mtu akatoa siri watakataa na kusema ni uzushi
 
Mimi taarifa niliyonayo wakati ali hassani mwinyi anamaliza muda wake wa urais alikuwa anapata milioni 30 kwa mwezi kama mshahara na marupurupu yake yote


Mzee Ruksa... that is 15 years ago. Kwa maisha bora for JK, anapata/lipwa/jilipa/chukua TSh ngapi kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom