Kiherehere
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,806
- 622
Acha kufuatilia masuala binafsi ya mtu
Una akili kweli wewe?. Kwa nini usiende kucoment kwenye facebook unakuja huku? Unaita haya ni mambo ya mtu binafisi? Mtu ninayemlipa mimi na wengine kwa kodi zetu? Uelewa wako uko wapi? kwenye makalio?? tafuteni forum zinazoenda na uelewa wenu, majungu, ushambenga , ufitini nk sio humu.........
Wana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.
unamlipa wewe, kimsingi anataka kujua mshahara wa Mawaziri kwa sababu anawalipa mshahara hivyo anapaswa kujua...Labour law inakubali kitu hiki? Wewe mshahara wako ni siri au sio siri?
QUOTE=terabojo;1308004]Wana JF leo napenda kuwakilisha hoja ya kutaka serikali na mashirika ya umma au yale ambamo serikali ina hisa nyingi itangaze/watangazie walipa kodi wa nchi hii mishahara na marupu rupu wanayowalipa hao mawaziri; makatibu wa Kuu na CEO's wa mashirika ya umma ili sis walala hoi tujue kwani ndo tunakamuliwa.
Mimi taarifa niliyonayo wakati ali hassani mwinyi anamaliza muda wake wa urais alikuwa anapata milioni 30 kwa mwezi kama mshahara na marupurupu yake yote