Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Si uende ikulu ukaulize,acha ushabiki!!!
Kikatiba rais harusiwi kukaguliwa(auditing) ina maana kiundani,ila ukitaka kujua A au B utajuzwa,so better go yourself bro!
 

kweli sirikali, economics views za mishahara ya individuals wachache ni Income(saraly)=Consumption + Saving, individuals wengi Income=Consumption + Madeni, ila ya wakuu nadhani ni Income=Saving, means hawatumii yani wanasave mwanzo mwisho
 
Kwani mpaka sasa mwezi July 2015 mshagara wa kima cha chini ni shilingi ngapi wadau??
 
Muulizeni ZZK anajua yote na alishataja, mi nimesahau tu...
 
Kuna thread imesema mshahara wa Rais ni milioni 32
umeiona?

Thread kusema mshahara wa rais ni milioni 32 si hoja wala nongwa kwani yeyote yule anaweza akasema kiasi chochote kile.

Ninachotaka mimi ni source ya uhakika. Kwa mfano, ukitaka kujua kiasi cha mshahara cha rais wa Kenya au Marekani wala hutahangaika kwani hizo taarifa zina vyanzo vya uhakika na kwenye hizo nchi hilo suala si la siri.

Sasa mimi nachotaka kujua ni wapi naweza kupata hizo taarifa?

Hiyo ya milioni 32 nishaisikia siku nyingi lakini kila nikiuliza source yake sipati.

Wewe unaweza ukanipa hiyo source?
 


Labda huyu ndugu Kwamhuzi ataleta source

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mkwasa-unaleta-picha-gani-kwa-watanzania.html
 
Last edited by a moderator:

Hiyo thread nimeshaiona na nimeshatoa mchango wangu kwa njia ya swali.

Yeye kusema/ kuandika kuwa mshahara wa rais ni shilingi milioni 32 bila kuweka source ya uhakika na ya kuaminika haifanyi mshahara wa rais kuwa shilingi milioni 32.

Hata mimi hapa sasa hivi naweza kusema kuwa 'mshahara wa rais Kikwete ni shilingi milioni 128 kwa mwezi'.

Je, watu wakiona nimeandika hivyo ndo wachukulie hiyo kauli yangu kuwa neno la injili bila kuhoji nilipoitoa hiyo taarifa?

Saying it so doesn't make it so.

Hebu hapo ulipo jaribu ku Google mshahara wa rais wa Marekani, Kenya, Afrika Kusini, au ule wa waziri mkuu wa Uingereza uone hits utakazopata.
 
Unaweza kuta anakula hata Bilioni kwa mwezi ndo maana imefichwa fichwa
 
rais wa JMT anapata posho na marupurupu na si mshahara ,, hata pale anapostaafu yeye ataendelee kupata posho kama kawaida na si mshahara!
 

kwani si ugombee ukifika huko utajua ni kiasi gani....?Daaaah.....!aiseeee unaonaje nuda unao tumia kuwaza mshahara wa Rais ni kiasi gani ungetumia kwa kupanga namna ya kuboresha kazi yako si na wewe unge sifiwa kwa ufanisi na mshahara wako ungepanda
 
Yuko sahihi unapotaka kufanya uchunguz lazma ufatilie mjumbe yuko sawa mwenye uelewa aseme tu
 
Nchi hii tuna wachumi lakini hawatumiki ipasavyo katika kupanga mipango inayoleta tija. Wanasiasa ndiyo wapepora kila kitu, hii inasababisha uchumi wetu kuyumba sana.

Nikitoa mfano mdogo tu huwezi ukawa na gap kubwa sana la mshahara kati ya kima cha juu na cha chini.


Ukizingatia wote hawa ni watanzania, wana mahitaji sawa, soko lao moja etc, Nashauri hawa wakuu watumie wataalam wetu jamani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…