Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
- Thread starter
- #801
Si amin hichi kitu,rahisi hawezi kulipwa ml.7.5,i believe atakuwa ana lipwa above that...
Kwa hiyo analipwa shi'ngapi sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si amin hichi kitu,rahisi hawezi kulipwa ml.7.5,i believe atakuwa ana lipwa above that...
mshahara wa rais wa URT ni 32 Million per month!
Source zitto kabwe alipokuwa igunga!
Hiyo nayo ni siri kubwa Watanzania hatistajili kuijua!!! Tunajua mshahara wa Rais wa Marekani lakini hatujui mshahara wa Rais wetu!!!! Bill clinton ndiye alikwa Rais wa mwisho wa Marekani kupokea mshahara wa $200,000 kwa mwaka alipomaliza awamu yake ya miaka minane mwaka 2000. Kuanzia 2001 mshahara wa Rais wa marekani uliongezwa na kufikia $400,000 kwa mwaka. Kama kumbu kumbu zangi ni nzuri walidai wameoungeza maradufu kwa sababu ni miaka mingi imepita tangu nyongeza ya mwisho na pia gharama za maisha zimepanda sana. Lakini tukirudi kwa Rais wetu hatuujui mshahara wake!!! Mwe hii ni sirikali!!!
mshahara wa rais ni ml.7.5
Kwa hiyo analipwa shi'ngapi sasa?
Kuna thread imesema mshahara wa Rais ni milioni 32
umeiona?
Thread kusema mshahara wa rais ni milioni 32 si hoja wala nongwa kwani yeyote yule anaweza akasema kiasi chochote kile.
Ninachotaka mimi ni source ya uhakika. Kwa mfano, ukitaka kujua kiasi cha mshahara cha rais wa Kenya au Marekani wala hutahangaika kwani hizo taarifa zina vyanzo vya uhakika na kwenye hizo nchi hilo suala si la siri.
Sasa mimi nachotaka kujua ni wapi naweza kupata hizo taarifa?
Hiyo ya milioni 32 nishaisikia siku nyingi lakini kila nikiuliza source yake sipati.
Wewe unaweza ukanipa hiyo source?
Labda huyu ndugu Kwamhuzi ataleta source
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...mkwasa-unaleta-picha-gani-kwa-watanzania.html
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.
Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?
Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?
.
..
l