Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, Ogah! Hapa unakosea. Kilichowashika wakina Richmond na maswahiba wao ni kutokufuatwa kwa taratibu za procurement na si kutuletea mashine mbovu. Wale waliotakiwa kusimamia taratibu walizipindisha kwa sababu zao. Hili ndio tatizo na si kuwa tuliona mashine mbovu. Wamebanwa na sheria na si hearsay. Utaratibu ungefuatwa, hata kama wananchi tusingeridhika na kilichofanywa, wangeendelea kupeta. Richmond hakutemwa kwa sababu alikuwa ni dobi ( si wote tuliona picha ya laundry yake?) bali alikiuka taratibu ambazo zimewekwa kwenye sheria.
Hebu tuangalie upande mwingine wa haya madai. Tunajua Mkapa hapendwi na wengi. Sasa wanaposikia kuwa anapewa nyumba Dar (kweli) na Dodoma (si kweli), anapewa Range mpya kila mwaka (si kweli), anaenda kutibiwa nje kwa kodi yetu kila mwaka mara mbili hata kama haumwi (si kweli)., analipiwa mpishi wakwenda nae nje kila akisafiri (si kweli) si watazidi kuongeza chuki dhidi yake? Sasa hapa kuna tofauti gani na tunayomtuhumu Kuhani kuyafanya dhidi ya Masau? Au kwa vile yule ni Kuhani ndio maana tukadai vithibitisho lakini huyu ni FMeS hatudiriki kudai kithibitisho? Kwani kwa kumpinga Kuhani kwenye ishu ya Masau mnataka kusema yote aliyowahi kuyaleta ( na ninatumaini ataendelea kuleta) Kuhani humu yana walakin? Lazima tuwe consistent.
. Mtoto wa Mkapa anaendesha Range Rover, nayo tuseme kwamba mpaka watoto wa wastaafu wanapewa magari?
Tunachozungumzia ni stahili iliyoandikwa kwenye katiba na si kitu unachokiona. Unataka kuniambia kuwa Mkapa kakwambia kuwa amepewa hizo Range kama stahili yake? Kwani uwezo wa kujinunulia alikuwa hana?
Ninachokuambia ni kuwa haiwezi kuwa stahili katika sheria kuwa hawa wakuu wapewe gari aina gani. Litatajwa gari kwa uwezo wake (specifications) na kutokana na matakwa ya mstahili kuamua ni lipi anataka. Hata kama Mkapa amepewa Range, haimaanishi Kikwete nae atapewa Range. Kwa mfano, kiongozi au mtumishi wa serikali wa ngazi fulani anastahili kupewa fanicha lakini haisemi fanicha aina gani bali inatoa kinachoitwa specifications. Mstahili kwa kukubaliana na Fanicha Ofisa wa serikali ndiyo wanaokubaliana ni fanicha ipi atapewa kulingana na viwango vilivyowekwa.
Kusema kuwa ni stahili ya Rais mstaafu kuongozana na mpishi ( kwa vile umemuona Mkapa au Sumaye akiongozana nae) vile vile ni uongo maana sheria inachozungumzia ni assistant. Aina gani ya assistant ni makubaliano kati ya mstaafu na hao wanaosimamia maslahi yake.
'Nimemuita FMeS muongo baada ya yeye kujaribu kupindisha aliyoyasema. Amesema kuwa viongozi wana stahili ya safari mbili nje za matibabu ( si kweli)
na nilipombana kwenye hili akadai kuwa hakusema alichosema ni safari za kawaida ! Muungwana anakiri anapokosea na muongo ni yule hata pale anapoteleza waziwazi anaendelea kukana kilichotokea.
Mfano mwingine ni hiki anachokizungumzia sasa hivi. Cha Mkapa na mke wake kupewa Range alipostaafu na kuwa hadi sasa ndiyo hizo wanazozitumia. Huyu ni mtu aliyedai wanapewa SUV mpya kila mwaka. Ikiwa aliyosema ni kweli, kwa nini Mkapa anaendelea kutumia alilopewa wakati anastaafu ( kama alivyotuambia FMeS)? Au mwaka haujapita toka astaafu? Au ya mwaka huu ndiyo hiyo aliyompa mtoto wake? Madai kama haya ndiyo yanayotufanya wengine tupingane nae.
8. Sasa mtu ambae anakiri kuwa hajasoma sheria inayoongoza maslahi anapoendelea kudai kuwa kile anachosema amekiona ndiyo sahihi, nimwite nini?
Ogah. Bila shaka kuna mambo ambayo FMeS anayaleta humu kutokana na anachokiita experience yake ni ya kweli lakini kwa maoni yangu kwenye hili alidanganya ( kwa kuendelea kushikilia kitu ambacho dhahiri kilikuwa si kweli). Ninaamini kuwa ni haki yangu ku'question' kila kitu kinacholetwa humu. Si FMeS peke yake ambaye nimepingana nae. Wengi tu na wengine wamenidhiirishia kuwa ni mimi ambae nilikuwa sielewi. Inapotokea hivyo sisiti kukubali kuwa kweli nilikosea. Si kwenye hili. Pengine atakapokuja mtu na kubandika sheria ( au amendment yake) inayothibitisha aliyoyasema FMeS. Nitapinga hata kama ataniambia ndivyo alivyoambiwa na mstaafu, acha hii ya kuona.
Tatizo la msingi ni kwamba FMES anatoa taarifa ambazo ni outlandish and bizzare but he doesn't wanna be questioned about it, and ends up cursing and disparaging everybody who dares to buck him. Anataka kila mtu awe mpambe. Hapana.
Fundi,
...niliposema facts on the ground kuhusu RDC........it included from procurement stage.........sio mashine mbovu pekee.....
kinachonifurahisha na ujengaji wako hoja ni kuweka support ya unachokiandika........which is a very good thing kwa faida ya wanaJF........
......sioni ni kitu gani mnachopishana na FMES,.....maana nina hakika FMES anajua kabisa kuna maandiko rasmi kuhusu mafao ya wakuu wastaafu.......sasa yeye kuamua kusema anayoyaona isiwe kigezo cha wewe kusema yeye ni Muongo..........kwani inawezekana wewe hujui utekelezaje wa yaliyoandikwa kama maslahi ya wastaafu........na ndio maana tuko hapa JF..........infact my opinion ni kuwa you compliment each other.......though with some minor differences..........
........mbona tunazo documents BOMBA sana kuhusu taratibu mbali mbali zinazotakiwa kufuatwa........lakini how do you/we evaluate ourselves.......references zetu ni zipi/ziko wapi.........
.......Fundi again you are very right unaposema ktk magari inayotolewa ni specifications na sio brand/model.........swali liinakuja what are the specifications and thus FMES comes in and say what has been supplied........now the h/work iko kwetu kujua.......je kilichokuwa supplied kinaendana na specs.......au kimekuwa over/under specs.....and why......kama ni over specs........je mhusika amelipia difference!?......thats why we are here at JF my brother..........furthermore mtu kusema SUV haina maana kuwa kasema brand/model...........
Fundi........kuhusu Dr.Masau na Kuhani.......kwi kwi kwi kwi kwi kwi thats a different ball game......mwache Kuhani atuletee result ya investigation yake........plse usi-simamishe/cover investigation ya Kuhani kiaina aina....hahahah......madai ya Kuhani kuhusu Dr.Masau ni ya aina yake......na yeye aliahidi investigation.......nasi tunasubiri bado matokeo.........so Kuhani.....Fundi's statement should not give you any relief kuhusu uchunguzi wako.....tunahitaji matokeo..........
.......Yes Fundi not all of us and not all the time.......tuko consistent......na ndio maana......tunawekana sawa kila tunapojisahau........namkumbuka sana Kuhani.............wakati anaingia JF mara ya mwanzo ni mimi nilimwambia kuwa post zake hazi make sense..........na toka siku hiyo alirekebisha.........however, watu huteleza.....na huwekwa sawa........thats the consistent tunayoitaka......mtu akikosea na aambiwe
Back to Nyani's point..............
......i should apologize kwa kwenda nje ya matakwa ya thread yako..........
naendelea kutafuta hizo dataz....otherwise kwa kuanzia doc ya Rev Kishoka ni nzuri kwa kutupa mwanga
FMES Achana nao hao kwanza wana majina mengi,wanawatongoza wake wa marafiki zao,walililetewa housegirl wakawapeleka cinema,walipata ajali wakakimbia.Achana nao hao kwanza ndio wa kwanza kuleta personal.Hilo ni tatizo lako wewe la msingi, maneno ya persnal ni wewe uliyeyaanza toka ulipoanza kuingia hapa ninakuhakikishia kuwa anytime nina majibu, kuanzia siasa mpaka personal uamuzi ni wako,
Mimi siwezi kuwa mpambe wako na wala sina wapambe hapa JF, ninajadili ishus na watu hapa kila siku bila noma, ila nyinyi wawili ndio mnataka nifikiri na kuandika kama mnavyotaka, labda over my dead body!
By the way pole sana nimesikia, na safari njema, utakaporudi utanikuta hapa kama kawaida nipo kama ulivyonikuta, wembe wangu ni ule ule! Ukitaka heshima nitakupa ukitaka anything else, I got it! Habari za oulandish na bizzare mimi ninakuzidi wewe?
Wewe ni muongo na huna ukweli na wala hujui kinachoendela kwa wastaafu, nimesema kwamba ni mujibu wa sheria ya wastaafu kwamba kila mwaka lazima waende nje kuchekiwa medically mara mbili, na wakiugua kwa dharura bado wanaenda anywys under dharura, nikakupa mfano wa Kawawa, ambaye kila wakati yuko London kutibiwa, sasa muongo ni nani hapa kama sio wewe ambaye huna lolote zaidi ya logics ambazo hazina anything to do na ukweli wa wastaafu!
Nitakuwaje mimi bosi? Mimi huku Marekani ma house girls hawamudiki na kazi za maboxi.
FMES Achana nao hao kwanza wana majina mengi,wanawatongoza wake wa marafiki zao,walililetewa housegirl wakawapeleka cinema,walipata ajali wakakimbia.Achana nao hao kwanza ndio wa kwanza kuleta personal.
Kwa vile ulichoandika kipo na hata ukibandikiwa haukioni, hamna haja ya kuendelea kujibishana na wewe.
Mfanyakazi wa serikali hana specifications! Na kama hautaelewa hata hii, basi ipo kazi. Pengine Ogah anaweza kukusaidia ujue specifications zinatumika wapi. Sisi wengine tukikueleza utatuona waongo!
I am out of here.
Mkuu Yo-Yo,
Nimekuambia hivi hawa watu wawili niachie, kwa sababu haya maneno quote ya juu huyajui maana yake, mimi ninayajua ndio personal hiyo iliyonifanya kuwajibu personal, na si kweli kuwa jamaa alifanikiwa kwenda na huyo H/g cinema maana huyu msiachana was terrified akakataaa kabisa, na si kweli kwamba walikimbia hapana baada ya ajali sister alikimbia kuna sababu, ..
Ahsante Mkuu!
Originally Posted by Kuhani
We juha,
Wewe Fundi ndio una ma house girls ndani, unaowabinjukia. Nitakuwaje mimi bosi? Mimi huku Marekani ma house girls hawamudiki na kazi za maboxi.[/B]
Ha ha ahaaaa aaaaaaaaaaaaaaa This is hilarious!
E bwana sasa kwa nini huyo demu alitoka nduki baada ya ajali ?
Ha ahaaaa aaaaaaaaaaaaaa, e bwana sina mbavu...
Mishahara ya viongozi wa juu haiko wazi. Hakuna nje ya watu wa utumishi na wengine wa karibu nao wanaoijua. Kuna mmoja huko nyuma ali'qouote' gazeti la Uganda lakini kwa vile mshahara wa rais wetu uliwekwa kwa Ugandan Shillings ilikuwa vigumu kwa wengine kuuelewa. Kinachotakiwa ni uwazi kiasi kuwa tuweze ku'google' tu na kuujua. Lakini si kwetu. Tunapenda mno siri. nadhani kuna wakati hata kuuliza tu kungeweza kukutia matatizoni ingawa nakumbuka Nyerere aliwahi kutaja mshahara wake( Sh 4,000 kama sikosei) zamani sana.
waungwana..basi imetosha..tuendelee na mada ya mishahara ya viongozi maana haya mengine mnayoongeza yanatupoteza tunaotaka kujifunza..( kama kuna cha kujifunza)
... now backo to the real ishu,
Wenye sheria hebu watuweke sawa, nasikia wastaafu wanapofariki, watoto wao wanatakiwa kupewa hela na serikali kwa muda flani, nasikia watoto wa Mwalimu wamelegua on this, nasikia angalau shillingi millioni moja kwa muda flani, haya maneno Makongoro ameyasema sana kwenye massanga, ila sina uhakika na ukweli wake,
Hebu tuwekeni sawa wanaojua sheria on this!
Mkuu,
Heshima mbele.
Tremendous job there!
Wasalimie maana unahangaika bure, ni serikali gani ambayo haitambui nafasi za wafanyakazi wake, yaani eti huwa wanaajiriwa bila specifications? Hiyo sasa ni serikali au ni nini?
Halafu vipi nilikuwa bado ninasubiri sheria kuhusu mafao ya wastaafu vipi kumbe haipo au? Maana naona kila saa maneno yanabadilika tu vipi haipo?
BTW, Mheshimiwa Rais mstaafu akisafiri nje analipiwa yeye, mke wake na wasidizi wawili! Hamna mahali panaposema MPISHI! Hii ni kutokana na Political Service Retirement Benefits Act, 1999 (No. 3 of 1999).
Official Gazette, 1999-04-16, No. 3, pp. 259-444!
Haya tuambie, Mkuu FMeS hizo dataz zako za magari mapya, misosi na wapishi umezitoa wapi?
Lets make reference to the relevant laws instead of speculating on the issues. The benefits are provided for by law- see Official Gazette, 1999-04-16, No. 3, pp. 259-444 which provides for retirement benefits for the President, Vice-President, Prime Minister, ministers, members of parliament, regional and district commissioners, and other politicians upon leaving political office.
This law has since been amended by Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2003 (No. 11 of 2003). Acts of Parliament, Parliament of Tanzania, Tanzania, 8 p.which makes miscellaneous amendments to a number of acts, including Public Service Retirement Benefits Act, 1999 and Political Service Retirement Benefits Act, 1999 (No. 3 of 1999).
Kwa sababu ninaheshimika sana na jamii ingawa ni masikini lakini ninaheshimika sana na hasa kina mama, na jamii nzima sina tabia low za namna hii! za kujifanya mswalihina mbele ya jamii kumbe ni mnafiki na muongo mkubwa sana.
mimi ninayajua ndio personal hiyo iliyonifanya kuwajibu personal, na si kweli kuwa jamaa alifanikiwa kwenda na huyo H/g cinema maana huyu msiachana was terrified akakataaa kabisa, na si kweli kwamba walikimbia hapana baada ya ajali sister alikimbia kuna sababu, ambapo ajamaa kaitaka more personal nitaziweka hilko sina noma wala siogopi, hawezi kuugeuza utani wakati ni ukweli not with me!
wewe hawa huwajui mimi ninawajua na maana ya maneno hapo ninayajua sana ndio maana nimewapa vidonge, na nimewahakikishia kua anytime wakitaka nitawapa zaidi,
Ahsante Mkuu!
Weka sheria inasema nini, sihitaji heshima zako wala za unafiki, take them with you kabla hujaondoka kesho, weka sheria inasema nini maana mimi so far naleta dataz tu, vipi umezikubali au? maana ahadi yangu bado ile i;le kuweka dataz hapa JF mpaka mwisho asiyetaka mlango uko wazi maana inapokuja kwenye dataz hata robo sijawahi kuziweka hapa JF, lakini sasa nitaanza kuziweka!
Maana toka topic ianze naleta dataz vipi hakuna sheria huko ili tukate mzizi wa fitina, au niliyoyasikia kutoka kwa Makongoro ni ya kweli? By the way unajua kua viongozi wetu wengi wastaafu, sasa hivi wako NY na wapishi wao? Na Mkapa anaingia kesho na timu ya watu kama 15 hivi, wako wasataafu kama 10 hivi sasa hivi NY, sasa nipigie hesabu ya kuwa-accomodate wote huko! na wapishi wao walinzi wao na wasaidizi wengine!
Ndio vile tunaendelea kumwaga dataz kama kawaida, I love JF!
. Binadamu hawana specifications, period. Kuna job descriptions, terms of reference lakini specifications, never. Specifications tunatumia kwenye vitu visivyo na uhai! Ni kama vile ilivyo tofauti katiba na sheria. Ndiyo maana nikakwambia pengine Ogah ataweza kukufahamisha maana nadhani anajua mambo ya ujenzi na tenda.
Niliisha kutajia sheria inayomiliki stahili za wastaafu kitambo. Nitakukumbushia.
Quote:
BTW, Mheshimiwa Rais mstaafu akisafiri nje analipiwa yeye, mke wake na wasidizi wawili! Hamna mahali panaposema MPISHI! Hii ni kutokana na Political Service Retirement Benefits Act, 1999 (No. 3 of 1999).
Official Gazette, 1999-04-16, No. 3, pp. 259-444!
Haya tuambie, Mkuu FMeS hizo dataz zako za magari mapya, misosi na wapishi umezitoa wapi?
Akaja womenofsubstance akaongezea yafuatayo:
Quote:
Lets make reference to the relevant laws instead of speculating on the issues. The benefits are provided for by law- see Official Gazette, 1999-04-16, No. 3, pp. 259-444 which provides for retirement benefits for the President, Vice-President, Prime Minister, ministers, members of parliament, regional and district commissioners, and other politicians upon leaving political office.
This law has since been amended by Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act, 2003 (No. 11 of 2003). Acts of Parliament, Parliament of Tanzania, Tanzania, 8 p.which makes miscellaneous amendments to a number of acts, including Public Service Retirement Benefits Act, 1999 and Political Service Retirement Benefits Act, 1999 (No. 3 of 1999).
Sasa leo unarudi kudai kwamba nimesema hakuna sheria inayozungumzia mafao ya viongozi wastaafu? Au maana ya Political Service Benefits nayenyewe inakupiga chenga? Ndiyo maana nashikilia kuwa wewe ni muongo. Niliishasema mapema kuwa niliisoma zamani lakini uwezo wa kuibandika humu sina ( Kuna thread ameanzisha Mchungaji kuhusu usiri na kutopatikana kwa machapisho ya serikali. Kaisome, pengine utanielewa. Hapana, hautanielewa, lakini kasome tu). Sasa wewe ambae kila kona ya dunia una swahiba ( ushatuambia kuwa hata FBI wanaomba ushauri kutoka kwako) kwa vile unataka kunionyesha kuwa mimi ni muongo si ungeongea na hao wakubwa wenzako wakupatie uibandike ili Fundi Mchundo aonekane muongo? Au na wewe hauwezi?
Nilikupinga kwenye hizo dataz na ninaendelea kukupinga kwa sababu hazitoki kwenye sheria ambayo unakiri haujaisoma. Unadai unaona ( si kwamba umeambiwa na mstaafu) unapata kutoka na source zako lakini ukweli unabaki kuwa kila kinachotendwa na viongozi wetu si kama sheria inavyoongoza. Stahili au mafao yanaongozwa na sheria na si wanavyojiamulia au wanavyoamuliwa na wapendao.
Humu ndani una watu wengi wanaofurahia michango yako. Una wafuasi kibao. Na hii ni stahili yako. Kwa nini sasa unataka kulazimisha Fundi Mchundo, Yo Yo na Kuhani wawe cheerleaders wako? Hapa duniani hauwezi kufurahisha kila mtu. Sisi ni kati ya hao wachache sana ambao hauwafurahishi. Kama vile ilivyo wewe pengine ni mmoja kati ya wengi ambao sisi hatuwafurahishi. Ndivyo ilivyo. Kubali facts ( kuwa hatukubaliani na wewe kwenye hili) na tuendelee na mada.
Quote:
Kwa sababu ninaheshimika sana na jamii ingawa ni masikini lakini ninaheshimika sana na hasa kina mama, na jamii nzima sina tabia low za namna hii! za kujifanya mswalihina mbele ya jamii kumbe ni mnafiki na muongo mkubwa sana.
Quote:
mimi ninayajua ndio personal hiyo iliyonifanya kuwajibu personal, na si kweli kuwa jamaa alifanikiwa kwenda na huyo H/g cinema maana huyu msiachana was terrified akakataaa kabisa, na si kweli kwamba walikimbia hapana baada ya ajali sister alikimbia kuna sababu, ambapo ajamaa kaitaka more personal nitaziweka hilko sina noma wala siogopi, hawezi kuugeuza utani wakati ni ukweli not with me!
wewe hawa huwajui mimi ninawajua na maana ya maneno hapo ninayajua sana ndio maana nimewapa vidonge, na nimewahakikishia kua anytime wakitaka nitawapa zaidi,
Ahsante Mkuu!
Sasa bado unarudi kwenye mahausgel! Kitu ambacho Kuhani amezungumzia kuhusu mimi na si mwingine! Bandiko kalielekeza kwangu. Wewe inakuuma nini? Unakasirika kuwa Kuhani, YoYo na Fundi Mchundo wanataniana? Si kila mtu ninayetaniana nae. Wewe si mmoja wao.
Weka basi hizo zaidi. Unayetaka kumtisha nani?
Mara unatujua. Mara huna haja ya kutujua. Mara tukutane nje tumalizane ( hausemi vipi lakini pengine kwa masumbwi). Mara tunatongoza wake za wadogo zetu. Hauchoki?
Umeishaambiwa, tunawaboa watu wengine. Tunawatia kichechefu.
Au pengine unataka na hii nayo ifungwe kama zilivyofungwa nyingine hivi karibuni? Wewe ukiwa mchangiaji wa mwisho.
Hautujui. Sikujui. Ibaki hivyo hivyo. Utakuja mdhuru mtu asiye na hatia.
Heshima hailazimishwi.
Amandla...........
Mbona unakuwa petty! Unasifiwa kwa nia njema lakini hauelewi.
Unayoyasikia kutoka kwa Makongoro (asiyechagua mahali pa kunywa) kwenye masanga na chenyewe unaita dataz? Au kila siku sisi hatukukuelewa kuwa kwako wewe gossip/hearsay ni sawa na dataz.
Hiyo ya kuongozana na wapishi siwezi kupinga. Kinachonitatiza tena ni kuwa unless wanakaa kwao, nchi za wenzetu si kila mtu anayeruhusiwa kupika kwenye jiko la umma(hotelini, shule n.k.). Pengine Marekani ni tofauti. Labda kwa sababu ni muda mfupi.