Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Mkuu ishus zote za wastaafu huanzia Utumishi, wao hawawezi hata chembe kutoa mafao ambayo hayamo kwenye sheria, never, ninasema never, kupinga kwako hakuzuii anything na kwamba wastaafu sasa hivi akribu 10 wako NY na kila nilivchosema, tena nimekuongoezea kua nilimsikia mtoto wa Mwalimu akiwa kwenye massanga akisema kwua baada ya kifo cha Mwalimu walilipwa, hiyo sheria uliyonayo ina walakini sana kama unayo kweli, bwa! ha! ha! ha! ah!
Si kila kitu kinachofanywa na viongozi na watendaji wa serikali ( utumishi ikiwemo)kinatokana na sheria. Au tumeishasahau Richmond? Au tuseme na kule kwa vile viongozi ( akiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali) walishiriki na walionekana wakitoa baraka kwa mradi mzima basi sheria haikupindwa? Kumwona Lowassa au Mkapa ana wasaidizi lukuki (wapishi, dobi, walinzi wa kumfungulia mlango, walinzi wa kubaki chumbani n.k.) hakumaanishi kuwa hiyo ni stahili yao. Ndiyo maana kwangu mimi Kuhani na Yo Yo hizo si data(z) ni hearsay.
Hiyo sheria niliyoi'quote' humo si yangu, bali ndiyo inayoongoza stahili za viongozi. Sheria inasema ( niliishasema hilo) kuwa anakuwa na Personal Assistants wawili. Hawa si walinzi. Sikutaja idadi ya walinzi maana siikumbuki na siwezi kusema kitu ambacho sina kumbukumbu nacho.Stahili haitokani na maneno ya FMeS au Fundi Mchundo. Stahili inaongozwa na sheria.
Naona ishu ya specifications umeikacha!