Mishahara ya viongozi wa Tanzania

Mishahara ya viongozi wa Tanzania

kwahiyo hakuna mwenye data kamili za mshahara wa mkulu wetu waungwana? kwanini iwe siri kwa tanzania tu?

Kwa sababu kuna wizi wa hali ya juu ndani ya huo mshahara na marupurupu ndio maana wanafanya siri.
 
Bado sielewi kwa nini mishahara ya watumishi wa umma iwe siri hususan ule wa raisi.
 
Bado sielewi kwa nini mishahara ya watumishi wa umma iwe siri hususan ule wa raisi.

Nadhan amount ni kubwa mpaka kutangaza wanaona soo angekuwa analipwa laki 5 au mill2 angesema ila ni nying ukisikia utalia.
 
Hao ndio wenye Nchi wanatufanyia kazi za kuongoza nchi lakini full siri.... ndio serikali hebu boreshini mishahara yote kuanzia chini mwendo huu nchi tutairejesha mikononi mwetu haina maana kuongozwa na wabinafsi...
 
mh?..............wengine wanapiga kelele ufsadi na wengine wanakula inchi dahaaaaaaaa.................tutafika keweli?
 
kwani nchi haiwezi kendeshwa bila bunge? inabidi tufike mahali ubunge uwe ni kujitolea(volunteering) ikifikia hapo hakuna atayehonga. huu ni ujinga kuwaliwapa wabunge fedha kibao. Kwa lipi walifanyalo.

Kwanza ingebidi ipigwe kampeni ya kupunguza marupurupu yao na sio kuongeza
 
Ni 2011 na bado hakuna anayejua kwa uhakika mkuu wetu wa nchi analipwa mshahara kiasi gani! Hii ni aibu kubwa sana hususan ukizingatia kuwa walipa kodi hela zao ndiyo zinatumika.

Shameful!
..........Ajabu kubwa muajiri muajiri asipojua mzhahara wa mtumishi wake............
 
Mwafrika ni mahangaiko tu na ni uwazi na ukweli kuwa baba yako/mama yako kama mwajiriwa unajua mshahara wake/Je wewe umewambia mshahara wako marafiki zako? Kama waona kazi hata kwa raisi ni kazi za wabunge tunapata toka kugombana kwao bila hivyo tusingejua
"HAIWEZEKANI KWA MME/MKE KUMWAMBIA MKEWE/MMEWE MSHAHARA WAKE JE KWANINI?" SISI NI WATU KUHANGAIKA NA KAZI NGUMU HATA IWE HAKI YAKO YA UWAZI UTAPENDA WATU WASIJUE AU UTADHANI HAWAJUI JAPO IKO WAZI" angalia mtu akipata uongozi anabeba hata watu wasiofaa kisa kuimairisha ulinzi asitolewe
"KUJIAMINI KWA WAAFRIKA NI KAZI NGUMU NA NI WACHACHE WENYE KUJIAMINI ANGALIA TOKA AFARIKI NYERERE NANI AWEZA SEMA SERA ZA KIBEPARI HAPANA NCHINI MWAKE KUANZIA HAPA NA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA HAKUNA MTU/RAIS WOTE SASA NI VIBARA WENGINE WANATAKA WAWE WA KWA KWANZA KUSALIMIANA NA RAISI WA KIBEPARI NAYO SASA NI SIFA" Wote sasa ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo kama bungeni
Ushoga ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Ubinafsishe wananchi wako wakose yote ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooo
Waruhusu wageni wachukue rasilimali za nchi yako ndiyooooooooooooooooooooooooooooo
Walinde wageni kufa na kupona hata wakitesa watu wako ndiyooooooooooooooooooooooo
Waambie wananchi wako wachangie huduma za jamii hata kama maskini/mafukara wa kutupwa ndiyooooooooooooooooo
Waambie wasiwaguse watu weupe au kukaribia makazi ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Chakula mnachokula ni kama cha mbwa sisi tutaenda kununua ulaya ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooo
Hapa hakuna wasomi tutakuja nao toka Marekani na Ulaya ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Wananchi wako watakuwa vibarua wetu na kwa watto wetu ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mtawafukuza wananchi ili mtupe maeneo mazuri sisi tulime mazao ya mifugo/mafuta yetu ya magari ndiyooooooooooooo
Tutakapokuwa tunawapa mafukara mradi/pesa tutataka kiongozi mweusi awepo awape wenzake ndiyooooooooooooooo
Hata madhara yakipatikana hamatatutoa wananchi wenu waendelee kufa ndiyoooooooooooooooooooooooooo
Mtatatutetea hata kama hatutakiwi na wananchi wenu ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Nyie ni mbumbu wa technolojia ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Binafsisha hata choo chako stendi huduma binafsi ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooo
Watu wako hawatakiwi kuwa na mila zao ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Hatutaki uwe rafiki na nchi fulani kwasababu adui yetu ndiyoooooooooooooooooooooooooooooo
Hata kama tukiamua kuua kiongozi wa kiafrika usiseme chochete zaidi ya kutusifu mabwana zako ndiyoooooooooooooooo
Tutakupa nafasi ya kuja kwetu mara kwa mara ili kuimarisha utekelezaji wa matakwa yetu ndiyoooooooooooooooooooooo
"HAWA NDO VIONGOZI WA AFRIKA TULIOKUWA NAO SASA NA SI ENZI ZA KINA NKURUMA,NYERERE NA MANDELA"
 
Mwafrika ni mahangaiko tu na ni uwazi na ukweli kuwa baba yako/mama yako kama mwajiriwa unajua mshahara wake/Je wewe umewambia mshahara wako marafiki zako? Kama waona kazi hata kwa raisi ni kazi za wabunge tunapata toka kugombana kwao bila hivyo tusingejua
"HAIWEZEKANI KWA MME/MKE KUMWAMBIA MKEWE/MMEWE MSHAHARA WAKE JE KWANINI?" SISI NI WATU KUHANGAIKA NA KAZI NGUMU HATA IWE HAKI YAKO YA UWAZI UTAPENDA WATU WASIJUE AU UTADHANI HAWAJUI JAPO IKO WAZI" angalia mtu akipata uongozi anabeba hata watu wasiofaa kisa kuimairisha ulinzi asitolewe
"KUJIAMINI KWA WAAFRIKA NI KAZI NGUMU NA NI WACHACHE WENYE KUJIAMINI ANGALIA TOKA AFARIKI NYERERE NANI AWEZA SEMA SERA ZA KIBEPARI HAPANA NCHINI MWAKE KUANZIA HAPA NA KUSINI MWA JANGWA LA SAHARA HAKUNA MTU/RAIS WOTE SASA NI VIBARAKA WENGINE WANATAKA WAWE WA KWA KWANZA KUSALIMIANA NA RAISI WA KIBEPARI NAYO SASA NI SIFA" VINGOZI WETU AFRIKA SASA JIBU RAHISI NI NDIYOOO
Mtaoana wanaume kwa wanaume ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Ubinafsishe wananchi wako wakose yote ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooo
Waruhusu wageni wachukue rasilimali za nchi yako ndiyooooooooooooooooooooooooooooo
Walinde wageni kufa na kupona hata wakitesa watu wako ndiyooooooooooooooooooooooo
Waambie wananchi wako wachangie huduma za jamii hata kama maskini/mafukara wa kutupwa ndiyooooooooooooooooo
Waambie wasiwaguse watu weupe au kukaribia makazi ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Chakula mnachokula ni kama cha mbwa sisi tutaenda kununua ulaya ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooo
Hapa hakuna wasomi tutakuja nao toka Marekani na Ulaya ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Wananchi wako watakuwa vibarua wetu na kwa watto wetu ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooo
Mtawafukuza wananchi ili mtupe maeneo mazuri sisi tulime mazao ya mifugo/mafuta yetu ya magari ndiyooooooooooooo
Tutakapokuwa tunawapa mafukara mradi/pesa tutataka kiongozi mweusi awepo awape wenzake ndiyooooooooooooooo
Hata madhara yakipatikana hamatatutoa wananchi wenu waendelee kufa ndiyoooooooooooooooooooooooooo
Mtatatutetea hata kama hatutakiwi na wananchi wenu ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Nyie ni mbumbu wa technolojia ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Binafsisha hata choo chako stendi huduma binafsi ndiyoooooooooooooooooooooooooooooooo
Watu wako hawatakiwi kuwa na mila zao ndiyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
Hatutaki uwe rafiki na nchi fulani kwasababu adui yetu ndiyoooooooooooooooooooooooooooooo
Hata kama tukiamua kuua kiongozi wa kiafrika usiseme chochete zaidi ya kutusifu mabwana zako ndiyoooooooooooooooo
Tutakupa nafasi ya kuja kwetu mara kwa mara ili kuimarisha utekelezaji wa matakwa yetu ndiyoooooooooooooooooooooo
"HAWA NDO VIONGOZI WA AFRIKA TULIOKUWA NAO SASA NA SI ENZI ZA KINA NKURUMA,NYERERE NA MANDELA"
 
Jamani kuna mtu anayejua mshahara wa raisi wa Tanzania ni kiasi gani? Kuna mtu kaniambia ni $200,000 na kitu kwa mwaka...sikuamini lakini akanihakikishia kuwa taarifa zake ni za uhakika. Bado ninasita kuamini ingawaje sina taarifa zozote na sijawahi kuona mahala popote pale kuhusu mshahara wa raisi.

Na mshahara wa makamu wa raisi..?
Waziri mkuu..?
Spika wa bunge..?
Mkuu wa majeshi ya ulinzi, polisi,magereza..?
Jaji mkuu..?

Kama kuna mtu anayejua...ni wapi tunaweza kupata taarifa hizi?

Hili nalo neno mshahara wa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzani utakuwa mkubwa sana thats why unakuwa siri cause kama ungalikuwa wa kawaida kwa nini uwe siri!?

Kwanini naamini mshahara wa Rais wetu utakuwa extraordinary!? Ikumbukwe huyu bwana anafanyiwa kila kitu interms of social needs na walipa kodi wa nchi hii. mkewe, watoto na wategemeziwe wa karibu nao wakihudumiwa pia na fedha za walipa kodi.

Kama Nehemia Mchechu mkurugenzi wa Nationa Housing aliacha kazi benki akiwa analipwa mshahara wa $ 36,000 per month huko NHC analipwa ngapi kwa sasa!? Je Rais wa Jamhuri atalipwa $ 200,000 kwa mwaka kweli? Nashawishika mshahara wake mkubwa balaaaaa pia ikumbukwe hawa wakubwa wanaendelea kuhudumiwa kwa kila kitu hadi umauti utakapowafika.

Ushauri wangu ni wakati muafaka mishahara ya viongozi yetu iwekwe wazi na iwe subject to taxation!?
Katika mchakato wa katiba mpya ili laweza kupatiwa ufumbuzi wa uhakika.
 
lakini hakuna shida acha wajilipe misha hara mikubwa cos sisi waTZ tumelala usingizi zaidi ya pono
 
They have an assurance of living good even after the retirement. Lakini jamaa wanawatafutua mali wajukuu zao
 
Back
Top Bottom