Muungano + may mosi= :wave:
Hamjui Zimetumika Kwenye Muungano? Mnashindwaje Kukopa Kwenye Maduka Ya Akina Mangi? Kwanini Hamuwi Wabunifu? Msitupigie Kelele Tutawafuta Kazi,halafu Kuna Mei Mosi,hv Hamjui Zote Hz Tumechukua Pesa Zenu Walimu Kufanikisha Sherehe Hy? Hatukuchukua Za Jwtz Kwa Sababu Wangetupindua,tumeona Tuchukue Za Kwenu Kwa Kuwa Nyinyi Hamjui Kugoma! Tunawapongeza Sana Na Muendelee Na Moyo Huo Huo Wa Upendo Wa Mshumaa,
kulikon
Haitachelewa sana,hadi May 20 itakua tayari wanajitahidi kukopa umoja wa Ulaya
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni???? Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process inafanyika kuongeza mzigo ( mshahara kuingezeka). Namuuliza afisa utumishi wangu ananambia bado hatafedha hazijatimwa wilayani. Kulikoni????? Mtujuze wenye latest tafadhali...........
vipi kuhusu hizi tetesi za mzigo kuwa upgraded....umeona mabadiliko kwenye mpunga wako?
kwa bajeti ipi? mwalimu usijue kushika chaki tu, jua na taratibu za kifedha za halmashauri na serikali kwa ujumla