Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Hamjui Zimetumika Kwenye Muungano? Mnashindwaje Kukopa Kwenye Maduka Ya Akina Mangi? Kwanini Hamuwi Wabunifu? Msitupigie Kelele Tutawafuta Kazi,halafu Kuna Mei Mosi,hv Hamjui Zote Hz Tumechukua Pesa Zenu Walimu Kufanikisha Sherehe Hy? Hatukuchukua Za Jwtz Kwa Sababu Wangetupindua,tumeona Tuchukue Za Kwenu Kwa Kuwa Nyinyi Hamjui Kugoma! Tunawapongeza Sana Na Muendelee Na Moyo Huo Huo Wa Upendo Wa Mshumaa,
 
hahahaha
 
unadhani kuleta vifaru vyote vile taifa, kurusha madege, kumpeleka Mwigulu US, mabango pamoja na 10% ni mchezo!?
Pia ukumbuke kuwa wizara ya pesa ina wasimamizi wapya.
 
Hutakiwi kuishi kwa kutegemea mshahara, ishi kwa kutegemea Mungu
 
Mshahara tar20 mwezi huu ujao utakua tayari
 
Haitachelewa sana,hadi May 20 itakua tayari wanajitahidi kukopa umoja wa Ulaya
 
Uchumi wa nchi unapaaa....deni la taifa linazidi kushuka
 
Jana nimetoka halmashauri kuangalia majina ya wanaopaswa kulipwa payroll hta jina langu cjaliona ni matatizo tu.
 
Binafsi maelezo niliyoyapata toka kwa afisa elimu mmoja ni kwamba ; kwanza hata wao bado hawajapata hiyo mishahara isipokuwa TT imefika leo mchana hivyo imepelekwa kufanyiwa processing kwenye benki yenye dhamana ya mishahara hivyo akatuambia hadi kesho itakuwa tayari na ikishindikana kesho(sikukuu) hadi ijumaa.

Kwa walimu ajira mpya walioingizwa kwenye payroll ni wale walioripoti tarehe 1 hadi 5 mwezi wa nne tu na ndio watakaopewa mshahara wa mwezi wa nne, wengine tutakopeshwa na mwajiri wetu kisha kuandika barua za kudai mishahara ya mwezi wa nne.

Hayo ndio niliyoyapata nilipotembelea halmashauri mapema leo.

Naomba kuwasilisha.
 
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni???? Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process inafanyika kuongeza mzigo ( mshahara kuingezeka). Namuuliza afisa utumishi wangu ananambia bado hatafedha hazijatimwa wilayani. Kulikoni????? Mtujuze wenye latest tafadhali...........

Mwe! Ualimu wito!
 
vipi kuhusu hizi tetesi za mzigo kuwa upgraded....umeona mabadiliko kwenye mpunga wako?

kwa bajeti ipi? mwalimu usijue kushika chaki tu, jua na taratibu za kifedha za halmashauri na serikali kwa ujumla
 
kwa bajeti ipi? mwalimu usijue kushika chaki tu, jua na taratibu za kifedha za halmashauri na serikali kwa ujumla

ahsante kwa dharau zako mkuu...the thing is it happens sometimes for salary grades to be upgraded in april...but the actual salary uplifting will occur in incremental month of july...hiyo miezi miwili watu hudai arrears..
baadhi ya halmashauri hutoa hizi records soon mzigo ukitoka april....
ASANTE KWA KUNIJUZA MIMI UJINGA WANGU WA KUNG'ANG'ANIA CHAKI pasi na kufuatilia lolote jingine la maana
 
Back
Top Bottom