Mishahara ya walimu mwezi huu vipi jamani?

Mshahara hakuna leo meimosi sasa hii sherehe ya nani duh majanga
 
Tofautisha kupandishwa cheo na hicho unachokizugumza, sio salary iongezeke tu, itakuwa ivo kama utapandishwa cheo this time na si vinginevyo
 
Majanga haya wamekula bata na kulipana posho nono kwenye sherehe za miaka hamsini ya muungano tabu tanapata ss..... Mungu awachome moto kabisa siku ya kiama.......

Afadhali hawa wanaandikia kuna watu wanajikopesha mamilioni ya ruzuku hwaandiki mahali kokote.
 
niwashukuru halimashaur yetu wameshaachia,polen wadau

Ukiona hivo ukue halmashauri ilikuwa na akiba fulani au wamechakachuwa hela ya barabara afu watakuja kuirudisha
 
Halmashauri za jiji la mbeya hakuna mtumishi aliyepata mshahara hadi leo tar 04/04/2014.
 
Halmashauri za jiji la mbeya hakuna mtumishi aliyepata mshahara hadi leo tar 04/04/2014.

Mie nipo Kyela huku, yaani mshahara haieleweki ni lini na mambo yanazidi kuwa taiti.
 
Mie nipo Kyela huku, yaani mshahara haieleweki ni lini na mambo yanazidi kuwa taiti.

Pole Asee Ndugu,mimi Mungu Amenisaidia Nimepewa Mshahara Na Ela Yote Ya Kujikimu
 

Acha kuishi kwa kukariri! hii ni TZ bana siasa kwanza uchumi baadae! hiyo nyongeza ya katkat ya mwaka wapi na wapi! ni julai tu!!!
 
jamani.. hv hii sirikali inauhuruma kweli mpk leo kimyaa hv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…