Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Hiyo ndio kauli yako uliyeshiba sio.Ukiona idara unayofanya kazi mshahara mdogo tambua wewe ni mtoa huduma huingizii chochote serikali unataka tukupe mshahara mkubwa kwa kipi mbona siye
TRA
TPA
TANESCO
TANAPA
Kwanini hatulalamiki tunaingizia serikali mapato kwaiyo inatujali sasa wewe mtendaji kata, afisa mifugo, mwalimu wa stadi za kazi unataka mshahara mkubwa wa nini kwa kipato kipi unachozalisha ebu muacheni mama afanye kazi
Sikiliza wazazi wengi wanataka watoto wao waairiwe serikalini maana huko hakuna KIPIMO CHA UTENDAJI KAZI, yani hukoo mpaka ufukuzwe menas hata jina lako hujui kuandika.Hizo ni tamaa Sasa.
Kwanza wapo wengi sana mshahara ikipanda itasababisha wengine wasiajiliwe maana hela itakuwa hamna.
Hivi kweli kabisa tangu aondoke JK mshahara wa mtumishi wa umma haijawahi kuongezeka? Nasikia hivyo na Kama ni kweli basi tatizo ni kubwa
Mm afsa mifugo nasimamia minada mikubwa ya biashara ya ng'ombe naingiza hela sn ka ww mbona sipewi mshahara mkubwa ingawa marupu rupu nayapata kushinda mwalimUkiona idara unayofanya kazi mshahara mdogo tambua wewe ni mtoa huduma huingizii chochote serikali unataka tukupe mshahara mkubwa kwa kipi mbona siye
TRA
TPA
TANESCO
TANAPA
Kwanini hatulalamiki tunaingizia serikali mapato kwaiyo inatujali sasa wewe mtendaji kata, afisa mifugo, mwalimu wa stadi za kazi unataka mshahara mkubwa wa nini kwa kipato kipi unachozalisha ebu muacheni mama afanye kazi
Fanyeni kazi acheni kulialia...mmeshawahi kufanya kazi kwa wahindi nyie?...we upo serikalini na unalalamika.Unaposema hivyo unawatukana maskini.
Pengine wewe na baba yako ndiyo mnaoitafuna nchi kwa rushwa na ufisadi.
Waje kwa wahindi au wachina wajue kazi zinafanyikaje..Unaweza kuacha ajira serikalini ukafanya bodaboda sababu inalipa? Kama jibu ni hapana tupunguze unafiki. Mtaani ni pagumu zaidi. Hizo fursa za mikopo tu ulizozizungumza vijana wengi hawana.
Na kuna taasisi ijumaa ikifika Lunch time huwa ni kama hawapo tu siku imeisha mapemaa.Waje kwa wahindi au wachina wajue kazi zinafanyikaje..
Wewe unaingia kazini saa 2 asubuhi unatoka saa 9 mchana..unalipwa tarehe 21 alafu eti unalialia
Na bado mtu anaweza kukopeshwa...watu wanajua kumjaribu MunguNa kuna taasisi ijumaa ikifika Lunch time huwa ni kama hawapo tu siku imeisha mapemaa.
Wafanyakazi wa uma wanaweza anzisha mradi na wakausimamia kwa ukaribu wa kiwango cha full time.Na bado mtu anaweza kukopeshwa...watu wanajua kumjaribu Mungu
Alafu eti analia humu...na wavivu wenzake wanamsupportWafanyakazi wa uma wanaweza anzisha mradi na wakausimamia kwa ukaribu wa kiwango cha full time.
Sasa dogo Abdul, siungekaa utumbue maisha, unakuja huku kufanya nini mwishowe mwishowe uugue vidonda vya tumbo sababu ya makasiriko na presha kutoka kwa wananzengo humu.Haujui miye ndie Abdul mnayenisema sema uko majukwaani
Nakuja wachora maskini mnavyojiliza lizaSasa dogo Abdul, siungekaa utumbue maisha, unakuja huku kufanya nini mwishowe mwishowe uugue vidonda vya tumbo sababu ya makasiriko na presha kutoka kwa wananzengo humu.
IbaMm afsa mifugo nasimamia minada mikubwa ya biashara ya ng'ombe naingiza hela sn ka ww mbona sipewi mshahara mkubwa ingawa marupu rupu nayapata kushinda mwalim
Da! we jamaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mimi nakula mshahara wa UMMA na naona siutendei haki, tunalipwa posho hata kikao cha kujadili kitasa cha elfu 10 posho elfu hamsini.
Nyumba na usafiri ninao wa umma.
Bado safari na likizo nalipiwa mimi na watoto wangu.
Sasa kama serikali haijaleta pesa ya mafuta ulitaka waitoe wapi?Walipaswa waombe kupunguziwa mishahara, hivi uliona kule Longido Makonda anamuuliza msimamizi kituo cha afya eti hawafanyi kazi wanasubiri bajeti ya laki moja kuja kuweka mafuta na chumvi kwenye jenereta.
Tuambie mtaalamu, mshahara wa Specialist ni kiasi gani?