Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

Ukiona idara unayofanya kazi mshahara mdogo tambua wewe ni mtoa huduma huingizii chochote serikali unataka tukupe mshahara mkubwa kwa kipi mbona siye

TRA
TPA
TANESCO
TANAPA
Kwanini hatulalamiki tunaingizia serikali mapato kwaiyo inatujali sasa wewe mtendaji kata, afisa mifugo, mwalimu wa stadi za kazi unataka mshahara mkubwa wa nini kwa kipato kipi unachozalisha ebu muacheni mama afanye kazi
Hiyo ndio kauli yako uliyeshiba sio.

Hivi upo hapo kwenye hiyo taasisi kwa kuwa wewe ni bora kuliko wengine au kwa bahati tu?
 
Hizo ni tamaa Sasa.
Kwanza wapo wengi sana mshahara ikipanda itasababisha wengine wasiajiliwe maana hela itakuwa hamna.
Hivi kweli kabisa tangu aondoke JK mshahara wa mtumishi wa umma haijawahi kuongezeka? Nasikia hivyo na Kama ni kweli basi tatizo ni kubwa
Sikiliza wazazi wengi wanataka watoto wao waairiwe serikalini maana huko hakuna KIPIMO CHA UTENDAJI KAZI, yani hukoo mpaka ufukuzwe menas hata jina lako hujui kuandika.
Mishahara yao ni mikubwa sana, ipunguzwe.
Wangejua kuna watu sekta binafsi anafanya kazi kiwandani masaa 12 kw laki mbili tu
 
Wafanya kazi wa serikali za mitaa haswa walim wana maisha magum bora hata bodaboda mana haiwezekan binadam kwa life la ss uwe na limit ya kuingixa hela kwa mwezi kwamba ikiwa n laki 3 n iyo iyo ss huyu mtu atafanya vp maendeleo na ikitokea ugonjwa wa fhafla inahitajika milion moja atatoboa vp mtu huyu atajengaje kama yupo sehem za majiji ka dar ataweza siku moja akadrive gari lake kweli
 
Ukiona idara unayofanya kazi mshahara mdogo tambua wewe ni mtoa huduma huingizii chochote serikali unataka tukupe mshahara mkubwa kwa kipi mbona siye

TRA
TPA
TANESCO
TANAPA
Kwanini hatulalamiki tunaingizia serikali mapato kwaiyo inatujali sasa wewe mtendaji kata, afisa mifugo, mwalimu wa stadi za kazi unataka mshahara mkubwa wa nini kwa kipato kipi unachozalisha ebu muacheni mama afanye kazi
Mm afsa mifugo nasimamia minada mikubwa ya biashara ya ng'ombe naingiza hela sn ka ww mbona sipewi mshahara mkubwa ingawa marupu rupu nayapata kushinda mwalim
 
Unaweza kuacha ajira serikalini ukafanya bodaboda sababu inalipa? Kama jibu ni hapana tupunguze unafiki. Mtaani ni pagumu zaidi. Hizo fursa za mikopo tu ulizozizungumza vijana wengi hawana.
 
Unaweza kuacha ajira serikalini ukafanya bodaboda sababu inalipa? Kama jibu ni hapana tupunguze unafiki. Mtaani ni pagumu zaidi. Hizo fursa za mikopo tu ulizozizungumza vijana wengi hawana.
Waje kwa wahindi au wachina wajue kazi zinafanyikaje..
Wewe unaingia kazini saa 2 asubuhi unatoka saa 9 mchana..unalipwa tarehe 21 alafu eti unalialia
 
Waje kwa wahindi au wachina wajue kazi zinafanyikaje..
Wewe unaingia kazini saa 2 asubuhi unatoka saa 9 mchana..unalipwa tarehe 21 alafu eti unalialia
Na kuna taasisi ijumaa ikifika Lunch time huwa ni kama hawapo tu siku imeisha mapemaa.
 
Haujui miye ndie Abdul mnayenisema sema uko majukwaani
Sasa dogo Abdul, siungekaa utumbue maisha, unakuja huku kufanya nini mwishowe mwishowe uugue vidonda vya tumbo sababu ya makasiriko na presha kutoka kwa wananzengo humu.
 
Katika nchi inayonuka rushwa na ufisadi kila kona, sidhani kama kuna kiongozi anayejali, au kuguswa na huo mshahara kiduchu. Ushauri wangu; kila mtu apambane tu na hali yake.
 
mimi nakula mshahara wa UMMA na naona siutendei haki, tunalipwa posho hata kikao cha kujadili kitasa cha elfu 10 posho elfu hamsini.
Nyumba na usafiri ninao wa umma.
Bado safari na likizo nalipiwa mimi na watoto wangu.
Da! we jamaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom