Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,984
- 5,820
Hiyo ndio kauli yako uliyeshiba sio.Ukiona idara unayofanya kazi mshahara mdogo tambua wewe ni mtoa huduma huingizii chochote serikali unataka tukupe mshahara mkubwa kwa kipi mbona siye
TRA
TPA
TANESCO
TANAPA
Kwanini hatulalamiki tunaingizia serikali mapato kwaiyo inatujali sasa wewe mtendaji kata, afisa mifugo, mwalimu wa stadi za kazi unataka mshahara mkubwa wa nini kwa kipato kipi unachozalisha ebu muacheni mama afanye kazi
Hivi upo hapo kwenye hiyo taasisi kwa kuwa wewe ni bora kuliko wengine au kwa bahati tu?