tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Huu wimbo ulitoka kuelekea kipindi cha uchaguzi wa J.K Kikwete mwaka 2004 na hayo aliyoyaimba hayakutokea. Ni miaka takribani 22 toka wimbo utoke na leo yote yaliyoimbwa yanaelekea kuwa dhahiri shahiri. Mzee wa watu alifanya unabii bila hata kujua utakuja kutokea lini na leo tunayaona yanayoendelea.