#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Aliyeleta corona ni shetani ila ni kwa kibali cha Mungu ili "kukinyoosha kiburi cha mwanadamu"

Pia ni unabii unatimia.


JESUS IS LORD!
Daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu ngoja nikuache maana ulichoandika ni tatzo zaid
 
Ni upumbavu tu wa watu wasiojilewa unakuta jitu Zima limekaa eti linaamini muhamadi alipaa akaenda mbinguni kukabidhiwa swala 5 ... Ukimuambia thibitisha anabaki anatoa toa macho tu
Elezea kwann unakufa? Kwasayansi na ukifa unaenda wapi? Leta uchunguzi wa kisayansi na fact zako. Na kwann uzaliwe uishi? Kwann kuna tajiri na masikini(usilete majibu ya mamotivation speaker sijui uvivu sijui vitu gani)? lete fact


Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ok lete fact za kisayansi kwanini ndege anapaa kwasababu ana mabawa na binadamu hana hayo mabawa?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ko unataka kunambia kati ya mababu zenu waganga na kizazi cha sahivi chenye dini kipi kimepata maendeleo? Na hili si la kidini jibu hvo hvo kwa fact? Au hao walioanzisha hizo dini na nyie ambao bado uganga na civilisation mbovu nani kaendelea? Lete chanzo cha binadamu kwa fact kamili sio zile sijui ana mkia sijui vidudu gani.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Sawa lete fact kuua mtu ni vibaya au sio vibaya? Maan nd hayo hayo yapo kwenye dini.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Na hapa ndio shida inapoanzia...Sasa hapo mtu anawezaje kuthibitisha kitu kisicho na ushahidi?
Ukishasema bila ushahidi...huwezi tena kuthibitisha
Uliingia JF? Nn kilikusukuma ukaamin utakuta watu wa kuwaambia hakuna imani na wakati unatumia imani? What If huwasiliani na watu kweli? Kipi kinakusukuma uamini ni watu? Katika maisha imani huwezi kwepa n kiwango 2 nd utofauti upo.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ndio umeongea Nini Sasa hapa upo sawa kweli wewe upstairs

Thibitisha kwamba hiyo chanjo ya kutoka marekani imefanyiwa utafiti katika Qur'an ndio maana ikafanikiwa kupatikana
We nd uthibitishe kwamba marekani hawajatumia bible au quran au imani kupata chanjo.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hivyo vyengine havina chanzo kwa sababu umevikuta? Eleza kwanini havina chanzo.
 
Nikusahishe hapo kidogo. Inasadikika kirusi cha corona kimetengenezwa na binadamu. Turudi kwenye hoja yako. Ikitokea mtoto anakanywa na baba akagoma kabisa kumfuata hutokea nn? Ngoj tuzungumzie scenerio moja ambayo baba humsusa mtoto na kumfukuza nyumbani. Kumbuka wakati huo mtoto akikosa hifadhi anaeza kutana na binadamu wabaya au wanayama wakali wakamdhuru. Je kosa litakuwa la nani hapo? Wakati huo huyo baba watoto ndani ya nyumba waliobaki anawalinda anawapa mahitaji yote muhimu na kawahidi misingi mizuri ya maisha watakavokua. Je tumuite huyu baba ana roho mbaya? Wakati huo huyo mtoto akikiri anaweza samehewa na kuhesabiwa kama wale wengine.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Historia zenu nd zimetufikisha hapa tulipo? Maan haya yenyewe tumeyapata kutokana na kuachan na historia zetu. Lakini bado tunakaa chini mashuleni. Halafu mi sitaki maisha yenu yale ya kukaa maporini. Nafurahia maflyover simu janja madawa mazuri yanayonyweka hakuna mauchawi ya ajabu ajabu maendelea chanya elimu raha 2pu yani.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwahyo corona imeletwa na Mungu au Shetani?
Kwamujibu wa hyo bible yko
Katengeneza binadamu ila Mungu anakinga watu wake. Ko nyny wengine subirieni muendelee kuwa gombania goli la shetani na madhambi yote hamna haki ya kumlaumu Mungu kwa chochote kwasababu ni wakaidi. Mnataka msaidiwaje hamtaki kufuata matakwa ya wakubwa wenu na huku mnawategemea.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Umerudi nyumbani kwako na kukuta jiwe chumbani kwako hali ya kuwa wakati unatoka halikuwepo,je inawezekana kuwa limejiweka tu lenyewe humo chumbani kwako?

Unaweza kufikiri hivyo?
 
Yeye amewaacha mjisumbukie maan mmesema mna uwezo wa kujisumbukia. Sio kwamba anawasumbua yeye binafsi. Em jua kitu kimoja kwamba binadamu wote tungekuwa na imani corona leo hii isingekuwepo maan tunaambiwa imetengenezwa maabara. Nini tafsiri ya haya ni kuwa neno la Mungu linaishi maan vitu alivokataza duniani vinaodhihirisha. Binadamu mkaidi kaaambiwa asiue katengeneza corona inayoua sas unataka Mungu afanyeje hapo? Na wewe hutatofautiana na huyo alietengeneza kirusi maan umeambiwa nifuate ntakulinda unagoma unataka kitonga eti. Hivi Mungu aliubma uwe na ubongo ili iweje kama we unapenda kudeka hivo hutaki kujishughulisha. Ko unataka Mungu akusaidiaje sas?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sasa mbona Vatican kule Napo wanatumia chanjo Imekuaje mpaka watumie chanjo wakati Kuna ulinzi wa Mungu anayewalinda Kama ulinzi wanoa chanjo wao ya Nini tena !?
Imani sio collective thing ni individual mzee. Yesu alipokuja duniani akaja kudhihirishia dunia wachngaji wao wakipindi hicho wananuka dhambi? Hakuna uthibitisho kuwa mchungaji ni Mtu wa Mungu. Halafu sio kila gonjwa ni spiritual eti ukadhani binadamu hatakiwi kupata tiba. Ukisoma bible vizuri utagundua kuwa mambo ya tiba yalikuwepo kama kawa. Ila Mungu alijua kuna vitu tunaeza jengana wenyewe kwa wenyewe ila imani haiwezi kujengwa na mwanadamu. Ni rahisi kumfundisha mtu kirusi kinavyofanya kazi kuliko kumuambia Mungu yuko wapi. Ko nd bible imejikita huko ambako wewe huwezi kuja kuelewa miaka 800m kwa uelewa wako kama wako.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ule ulikuwa mfano mdogo 2 ww . Unataka kufananisha what is element na mtihani wa magonjwa 2 kwa mfano. Yani kama mwalimu anaweza jua kabisa wewe ni kilaza akaamua kukuuliza swali makusudi akijua exactly utakuwa hujui. Pale anataka akuoneshe kuwa hujui sio unajua nn. Kuna mitihani ya aina mbili mzee kujua unaelewa nn au kukuonesha huelewi ili uombe ufundishwe. Sas kwa case yetu binadamu tumepewa mtihani wa pili utuoneshe hatujui kiasi gani ili tufundishwe ila tumekaidi ko tumeachwa na ujinga. Sasa unataka kumlaumu nan hapo?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwani we ndo uliemuumba kuku? Kwani huwezi fufua simu au pc ikifa au gari ikifa?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…