Simmesema kila kitu lazima kiwe na chanzo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
So inamaana huyo Mungu alizuka tu pasipo uwepo wa chanzo kilicho mfanya awepo !?? Kama kwake yeye iliwezekana hivyo yaani akawepo bila uwepo wa chanzo chake kwanini ishindwe kuwezekana hivyo katika vitu vilivyopo duniani ambavyo mnadai kwamba uwepo wake ume sababishwa na Mungu ''
Yaani Kama mkitaka teuelwane hapa kwamba kanuni ya uwepo wa vitu au kitu fulani ili kiwepo Ni lazima kiwe na chanzo Cha aliye kiweka Basi yatupasa tukubaliane hapa kwamba Mungu nayeye ana Mungu wake aliye pelekea uwepo wa Huyo Mungu wenu kuepo ... Kama Mungu Hana aliye sababisha uwepo wake na Hilo linawezekana yeye kuwepo Basi simply tu hata hivi vilivyopo duniani vinawezekana kuwepo bila kuhitaji kuwekwa na yeyote yule full stop [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]