#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Hii ya kuran kuwa na mafundisho ya sayansi leo kuna mtu kaikana katakata
 
Unaelewa shabaha ya mtihani?

Maana yake ni njia itakayomuwezesha mwalimu kujua ni kiasi gani umeelewa mafundisho yake

Kwa maana hiyo huyu mtihani unakazi ya kumjulisha mwalimu kazi yake aliyokua akiifanya kukufundisha wewe umeelewa kwa kiwango gani

Hivyo mwalimu huyu anakua ana imperfection, hawezi kujua kama unaelewa aliyokufundisha mpaka akupe maswali ya kukupima

Sasa mungu mwenye ujuzi wote ambaye alijwisha kujua hatma yako kabla hujazaliwa anaanzaje kukupa mitihani?

Anakuoa mitihani kwa lengo lipi? Inamaana hana uhakika na maono yake aliyoyaona before?
 
Kwani katika sayansi hakuna kipengele cha prevention and control Mkuu? Au hujui njia za kukabiliana na magonjwa ya mripuko?
Hujawahi hata kusikia prevention is better than cure?!
Prevention is better than cure this statement can easily make sense in the world where god does not exist

Kwanini kuwe na prevention kwenye ulimwengu ambao mungu mjuzi wa yote, upendo wote na muweza wa yote ndio mtawala?

Sayansi imeshindwa namna ya kudhibiti magonjwa yasiweze kuumba ulimwengu na ndio maana imeweka precautions

Sasa mungu anayekupa taadhari inamaana kashindwa kuyazuia?
 
Hahahaha, ila sayansi ni kubwa, upande wa pili wa Quran yaani hadithi za Mtume zimewataka watu watafute tiba kwa kila ugonjwa. Sasa kama Quran unataka ilete tiba ya kila gonjwa unadhani kingeweza kuwa na ukubwa gani?!
Kwani si kimeshushwa?
 
Unakubali kila kitu kinafata utaratibu ambao mungu amekiwekea?
 
Hapana, hajashindwa kuyazuia, ila mfumo wake wa utendaji kazi ameweka wanaadamu wafanye sababu ili waweze kujitatulia shida zao. Na kwakuwa tayari ameshawapa akili ya kuweza kufanya hivo.
 
Unakubali kila kitu kinafata utaratibu ambao mungu amekiwekea?
Ndio kila kitu kinafata utaratibu, hakuna ambalo lipo nje ya utaratibu ambao muumbaji kauweka. Yawe mazuri machoni mwetu ama yawe mabaya, yeye ndiye muendeshaji wa kila kitu.
 
Hapana, hajashindwa kuyazuia, ila mfumo wake wa utendaji kazi ameweka wanaadamu wafanye sababu ili waweze kujitatulia shida zao. Na kwakuwa tayari ameshawapa akili ya kuweza kufanya hivo.
kwa hiyo unamaanisha alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauruhusu mabaya?
 
Ndio kila kitu kinafata utaratibu, hakuna ambalo lipo nje ya utaratibu ambao muumbaji kauweka. Yawe mazuri machoni mwetu ama yawe mabaya, yeye ndiye muendeshaji wa kila kitu.
kwa maana hiyo huwezi kumlaumu mtu kwa namna alivyo kua kwasababu we're just programmed?
 
Hawa jamaa mbona wanaenda kinyume na maagizo ya mtume wao??mtume alisema magonjwa hayaambukiziki yani hakuna gonjwa linaloambukizika...sasa kwanini wanakwepa mikusanyiko?
 
Sasa watafunga mingapi maana mtu anaweza kuswali kila sala kwenye misikiti tofauti kwa siku moja,kuanzia alfajiri hadi usiku akawa katumia misikiti tofauti.
Si ndio umeona wanaendelea kuifunga? Wanafunga huku wanajaribu kuua hao covid 19, huwezi jua labda wakijiridhisha (baada ya kupulizia dawa ) wanaifungua mmoja mmoja
 
Hawa jamaa mbona wanaenda kinyume na maagizo ya mtume wao??mtume alisema magonjwa hayaambukiziki yani hakuna gonjwa linaloambukizika...sasa kwanini wanakwepa mikusanyiko?
Hahahaha umetoa wapi hayo maneno ya Mtume
 
kwa maana hiyo huwezi kumlaumu mtu kwa namna alivyo kua kwasababu we're just programmed?
We are not programmed, just alijua at first kila mtu atatenda kitu flani hata kabla hajatuumba, akaimuru kalamu ikaandika yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…