#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Maswala ya kiimani ukifikiria kibinadamu huwezi pata jibu. Ko we unaona inashindikana mtu kukupa swali la mtego kuudhihirishia huelewi kitu fulani? Haiwezekani mtu akajua mwenzi mwizi kabisa ila akataka amkamate na vithibitisho ili yule mwizi asibishe kabisa akamua kumtega na camera maybe. Wakati Adam Amehasi Mungu alienda kwa Adam akijua kabisa kuwa kamtenda nd maan akamuliza swali la mtego Adam uko wapi? Ni kama mzazi akugundue umeiba nyama umekimbilia chooni may be kujificha anaweza akaja eneo la toi na kukuuliza fulani uko wapi? Mbona haya mambo yako duniani sana 2. Halafu naona wewe neno la mtihani linakuchanganya sana. Basi ngoja nkupe msamiati tumepewa majaribu achana na hilo la mitihani bible inasema angalieni msije mkaingia majaribuni. Sala ya kikristo inasema Usitutie Majarbuni bali Tuokoe Na Yule Muovun Kwa Kuwa Ufalme Ni Wako Na Nguvu Na Utukufu Amina. Kwahiyo kumbe majaribu yapo ila ukimtegemea Mungu atakuondolea hayo majaribu kabisa au mitihani.
 
Yesu alikua akitibu kila aina ya gonjwa lilowahi exist duniani hadi haya mapandemic watu walipona asilimia 100. hakuna mtumishi wa Mungu katika bible amewahi kufa na ugonjwa wa kibinadamu bali unabii kuwa binadamu lazima kila nafsi itaonja umauti jpo kulikuwa na gifted. But katika uponyaji wote alikuwa anauliza Je unaamini hivo? Hii inakupa tafsiri gani? Kuwa ukiwa na imani utapona tu. Sasa serikali zinajua fika sio kila mtu ana imani hivo zinaamua kulinda wale wasio na Imani kwa wakati huo. Na Mungu karuhusu hayo maarifa ili binadamu wapae nafasi ya kuishi waje wadhihirishe ubaya wao. Yesu alitibu tauni ambayo tunajua ni uviko ya zamani, alitibu kutokwa na damu miaka 12, kipofu aliona mlemavu alitembea, ukoma, alifufua wafu(kumbuka source ya ugonjwa haikutajwa then kumbe inaezekana hata walikufa na uviko) alirudisha sikio la mtu lilikatwa na panga alitembea juu ya maji. Kwa hyo ndugu ukimtegemea Yesu wa kweli achana na wa kwenye movie yule then corona ni vimafua tu. Amina.
 
Hakuna kitabu kitakatifu acha ujinga yaani kitabu kiandikwe na binaadamu halafu useme Ni Cha Mungu na nikitaka tifu Kama kweli Mungu Ni muweza wa yote kwanini asinge fanya mpango wakumtengenezea binaadamu ujuzi wa kumjua Mungu direct Kama jinsi ambavyo binaadamu alivyo uwezo wa kupenda na kuchukia
 
Sas unataka uletewe hyo dawa wewe ambae umemkana Mungu. Huyo Mungu angekuwa dhaifu sana yani mtu akukane afu umsaidie? Duu we ulisikia wapi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
,[emoji16][emoji16][emoji16]mbona hao wanaomuamini kuwa yupo wasaudia wameshindwa kuleta dawa
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu hao hawaelewi hata uwaelekeze vipi wameamua kujipotosha
 
kwa maana hiyo huwezi kumlaumu mtu kwa namna alivyo kua kwasababu we're just programmed?
Hakuna mwenye uwezo wa kujibu haya maswali hapa ndio maana Jana niliamua kuwapuuza
 
Hawa jamaa mbona wanaenda kinyume na maagizo ya mtume wao??mtume alisema magonjwa hayaambukiziki yani hakuna gonjwa linaloambukizika...sasa kwanini wanakwepa mikusanyiko?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Halafu ili iweje?maana kila kitu kina sababu zake sasa sababu za wewe kutaka hivyo ndio ili iweje?
 
Allah kashindwa kulinda waumini wake wasipate Covid-19?
 
Kwani aliahidi hivyo?
Quran inasema kwamba Allah ni mwenye rehema nyingi, mwenye upendo usio kifani.

Sasa imekuwaje Allah mwenye rehema nyingi na upendo usio kifani anaachia maambukizi ya Covid-19 yawezekane mpaka msikitini kiasi watu wasimamishe ibada misikitini?

Si angefanya hata Coronavirus ishindwe kuingia msikitini watu tujue Uislamu ni dini ya kweli na Allah anawalinda waumini wake?

Allah kashindwa kuwalinda waumini wake dhidi ya Corinavirus mpaka misikitini?
 
kama ukiwa na imani utapona tu na imani huja kwa kuanza kuamini, hao watu ambao yesu alikua anawafufua waliwezaje kukubali kua wanaweza kufufuka wakati walikua wamekufa?

watu wa namna hiyo yesu alikuwa anawaulizaje hayo maswali kama wanaamini angali wakiwa wafu?

halafu kama ukiwa na imani utapona tu

ina maana yesu alikosa imani ya kuamini misumari haina madhara kufanya misumari isimdhuru pale msalabani?

kwanini imani yake ilishindwa kumuepusha na mabalaa ya misumari?
 
Kwani sanitizer tunakunywaga?
Hizo dawa zinazopuliziwa na watu wanarudi miskitini zinaonekana zinauwa virusi vya corona, kwa nini zisifanyiwe modifikesheni zikawa zinatumika kwenye kunywa? [emoji40] [emoji3061]
 
Allah ni mungu hata wakristu wa kiarabu humwita hivyo sasa nyie endeleni kumkeri mungu hapo tofauti ni lugha tu
 
Allah kawaandalia waumini makaazi ya amani na utulivu,dunia sio upeo wa mwisho wa muumini, na daima muumini anaifahamu dunia nikama kivuli kina kuja na kuondoka. Muumini anaishi duniani kama msafiri tu, anajua muda wowote ataondoka, ikiwa kwa Corona ama sababu nyengine. " Kila nafsi itaonja mauti" muumini lazima atakufa bali hata asie muumini atakufa. You will die brother, both me and you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…