#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Kwahyo corona imeletwa na Mungu au Shetani?
Kwamujibu wa hyo bible yko
 
Braza kitu cha kwanza unamtafakari Mungu kibinadamu nd tatizo lako plus umechanganya mafundisho mengi na mengine inaonekana ni potofu zaidi. Nkuulize ki2 kimoja nature ya maswali ya mitego imetoka wapi? Je mwalimu hawezi kumjua kuwa mwanafunzi fulani ni mjinga hvo akaamua kumuuliza swali la mtego kumuonesha yule mtu kiasi gani ni mjinga na anahitaji msaada. Kwann magonjwa yamewekwa kama jaribu? Kwasbabu ugonjwa unakufanya kukumbuka kumbe wewe ni binadamu ni dhaifu. Majaribu ni mtihani kwako wewe ujue position yako sio Mungu aone position yake.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha ah sasa uliambiwa nani hayo maneno mkuu? Kua haijacha kila kitu its means hata kukueleza uchukue tahadhari si ni tayari imeshakuelekeza,?!! Muimbaji amempa mwanadamu akili na kipawa tofauti na viumbe wengine. Kutafuta na kutotafuta hilo litakuwa jukumu lake, ndiyo maana mnaowaita mabeberu wao wanatafuta hio tiba.
 
Ndio umeongea Nini Sasa hapa upo sawa kweli wewe upstairs

Thibitisha kwamba hiyo chanjo ya kutoka marekani imefanyiwa utafiti katika Qur'an ndio maana ikafanikiwa kupatikana
Nakukumbusha kuwa hiyo nchi ya Marekani unayoitaja kuna watu wa imani tofauti sasa nakushangaa wewe kuona ajabu kwa Saudia kutumia chanjo za Marekani. Waliyotengeneza hizo chanjo hawakutengeneza kwa sababu ya imani zao au kwa kutokuwa na imani,sasa kwa kuwa wewe upeo wako mdogo unataka et Saudia watumie Qur'an kutengeneza chanjo.

Nilishakwambia kuwa dini ni maisha si kitu fulani cha kuhusu miujizaujiza .
 
Hahahaha sasa ulitaka Quran ije na majibu yatokanayo na uvuvi wa mtu kufikiri?! Mtume peace be upon him alisema"Allah hakuteremsha ugonjwa ila aliteremsha dawa yake" so kutokana na kipawa alichopewa mwanadamu ni dhahiri anaweza tafuta hio tiba.
 
Hadithi zenu ni zle zile tumezchoka... kwa maelezo yko Mungu wenu ni muuaji na hana huruma...full stop!!! Yy anajua kbisa huu ugonjwa alafu anauleta ili awauwe watu kwsbb tu anataka watu wa mkumbuke... yy si mjuzi wa yote mwenye mamlaka kwnn asitumie njia nyngne ya kuwakumbusha hadi afanye mauaji.
 
Kwahyo saudia itatumia chanjo za makafiri... kwann saudia km mji mtakatifu wa Allah itumie vtu vya taifa lisilomtambua Allah.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu mitihani tunayopewa ambayo nayo sio kwamba Mungu analeta maana yale ni matokeo ya dhambi n kwamba Mungu hayazuii tena kutokana na ukaidi wetu. Nd maan mtu anaemtegemea yeye atapona na hata akifa ana nafasi yake katika maisha makuu zaidi ya ulimwengu mpya. Whats important in life than knowing your future is exactly in safe place(heaven). Mungu hajaruhusu majaribu ili aangalie nani anafaa maan tayari anatujua tangu tumboni mwa mama zetu. La! Ila niwewe mwanadamu uprove point kwa kutenda anayotaka na utakapohukumiwa usije laumu. Sas kuhusu vifo vinavotokea tunajua wazi kuwa ni matokeo ya dhambi na sio Mungu kama unavodai wewe. Sasa wewe umkane Mungu afu mtoto wako afe umlaumu Mungu wakati kauagiza umuombe umegoma ko we unajiona kama Mungu nd anakutaka sana hadi akupe usichomuomba wakati uhai wenyewe tu amekufanya uokote jalalani. Mtoto mdg akifa anakufa mara nyingi kama matokeo ya familia yenye dhambi na ile pia ni moja ya hukumu utakayokutana nayo wa kushindwa kuikabidhi familia yako kwa Mungu.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hv mkuu unasoma kwa makini nnachokiandika.. nimesema ndio ni haki yangu kuhoji!!! Sasa km ww hauoji shauri yko
Point yangu ni kwamba watu huwa hawawahoji madaktari kwa sababu wanawaamini kuwa wamesoma hivyo wanajua kila kitu na hiyo ni duniani kote si afrika hata huko kwa wazungu,hivyo ni kama waumini wa dini.
 
Hahahaha sio mauaji kwakua at first hakumuumba mwanadamu kuwa mkaazi wa milele hapa duniani. Hapa ni mapito tu. Kifo ni njia ambayo kaiweka ili mwanadamu akaishi pale atakapo jiandalia hapa duniani. Duniani ni sehemu ya majaribio tu. Shida msio amini huwa hamna raha kwakua mkifa hamjui khatma yenu
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mungu hajielewi Yuko very contradict
 
Sisi ni nyungu na maombi.ole wake mtu kubisha maana jafo alisema nyungu season 3 na episod kibao
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Sasa mbona Vatican kule Napo wanatumia chanjo Imekuaje mpaka watumie chanjo wakati Kuna ulinzi wa Mungu anayewalinda Kama ulinzi wanoa chanjo wao ya Nini tena !?
 
Thibithisha
Nitaanza na ushahidi wa akili najua maandiko hutayakubali, kwanza logical kukirudisha kitu upya ni rahisi kuliko kukiunda wakati hakikua kina exist, pili, uwepo wa mbingu, ardhi na umbaji wa viumbe ni logical lazima atakuwa yupo alieviumba na ndio yeye atakuwa na uwezo wa kuvirudisha baada ya kuvifisha.
Akili iliyo salama haiwezi kukanusha kuwa uwepo wa Mungu, kwakuwa hii nidham ya kimaumbile haiwezi kuwa imekuja from no where. So lazma atakuwepo aliumba na ndie atake mrudisha mtu badala ya kufa.
Sasa niletee ushahidi kuwa tukifa ndio mwisho wa kila kitu.
 
Huyu hajielewi kabisa [emoji16][emoji16]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mwalimu Ni human being Hana uwezo wa yote nikuulize swali

Umeshawahi kusikia mwalimu akujinadi kuwa yeye anauwezo wa yote na nimjuzi wa yote Kama haujawahi it means kwamba mwalimu akitoa text kwaajili ya mwanafunzi/wanafunzi wake Yupo sahihi kabisa kwa sababu Hana uwezo wa yote Wala sio mjuzi wa yote ndio ili aweze kuwa na uhakika na mafundisho anayo wapatia wanafunzi wake Kama wanafunzi hao wanaelewa au la Ni lazima awapatie text

Sasa inakuwaje Tena Mungu wako mwenye ujuzi wa yote na uwezo wa yote awapime watu kwanini asitumie ujuzi wake wa yote alionao kujua tu Imani zao zilivyo

Oyaaaa mbona huyu Mungu haeleweki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…