#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Kwahyo saudia itatumia chanjo za makafiri... kwann saudia km mji mtakatifu wa Allah itumie vtu vya taifa lisilomtambua Allah.[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimesema hapa kwamba Marekani ni nchi ambayo ina watu wenye imani tofauti na hizo chanjo hazijatengenezwa kwa kutumia imani zao au kwa kutokuwa na imani,hivyo hakuhusiani na masuala ya imani sasa hayo ya chanjo za makafiri sijui wewe umeyapata wapi na yanahusika vp hapa.
 
Kwanini tiba hiyo inayotafutwa isitoke ndani ya Qur'an ambayo ndani yake' Kuna sayansi hiyo ndio hoja yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kwahyo hapo ndio umethibitisha?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mm kuthitisha... nataka ww ndio ukafanye kwa vtendo hebu chukua kuku mchinge alafu mfukie kaa baada ya wiki ukamfukue alafu uone km bdo kuna maisha baada ya kufa au lah
 
Dini Ni maisha nasio kitu kinacho husu miujiza ujiza unauhakika na unacho kiongea wewe [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Unajua sababu ya Surat ya sin kushushwa na kisa chake aiseee mbona unaongopa Sana wewe jamaa [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hio wizara ya saudia ikipiga kambi Tanzania wiki moja tu, inafunga yoote!
 
Eti nmeyapata wap [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan n nn tafsir ya mtu asiye mislam? Kwa misingi ya dini ya kiislam
 
Kwanini tiba hiyo inayotafutwa isitoke ndani ya Qur'an ambayo ndani yake' Kuna sayansi hiyo ndio hoja yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kuna mahusiano gani kati ya Qur'an kuwa na Sayansi na tiba kutoka kwenye Qur'an? au ni kwamba kila kitu chenye sayansi ndani yake kuna tiba za magonjwa?
 
Saudia ndio wanapaswa kutumia Qur'an kutengeneza chanjo kwa sababu ndio taifa ambalo chimbiko la mtume limetokea huko na ndio taifa ambalo Qur'an ilishushwa huko kwa mujibu wenu ... Na Qur'an inajinasibu kwamba Inazungumzia mpaka sayansi Sasa ili kutu prove wrong sisi tunaopinga kwamba Qur'an haina inachokijua kuhusu sayansi saudia walipaswa kuja na tiba au chanjo inayotokana na Qur'an hii ingesaidia Sana kutuprove wrong sisi ambao tunaoiona Qur'an na dini ya kiislam Ni uongo uongo tu lakini imekuwa kinyume chake yaani taifa linalo jinasibu kuwa Lina ardhi takatifu linasubiri chanjo toka kwa taifa ambalo limejaa kila Aina ya laana na ubabe na balaa ya kila Aina [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ina maana Mungu anasubiri taifa lake liponywe na taifa la watu wa shetani aisee wonders shall never ends
 
Eti nmeyapata wap [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan n nn tafsi ya mtu asiye mislam? Kwa misingi ya dini ya kiislam
Ndio nikakwambia hayo ya wasio waislamu au waliyowaislamu hayahusiani na chanjo kwa sababu waliyotengeneza hizo chanjo hawakutumia imani zao wala ukafiri wao.
 
Hahahaha sasa ulitaka Quran ije na majibu yatokanayo na uvuvi wa mtu kufikiri?! Mtume peace be upon him alisema"Allah hakuteremsha ugonjwa ila aliteremsha dawa yake" so kutokana na kipawa alichopewa mwanadamu ni dhahiri anaweza tafuta hio tiba.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwahiyo huko Saudi Arabia mashekhe wenu wote Ni wavivu wa kufikiri yaani wameshindwa kabisa kutenga muda wao na kuichambua vyema Qur'an ili wapate dawa za kuiponya dunia [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Huwa mnakubali vipi kuongozwa na watu ambao Ni wavivu wa kufikiri
 
Hapo Sasa [emoji16][emoji16][emoji16]

Hivi Hawa wakotimamu kweli
 
Ndio nikakwambia hayo ya wasio waislamu au waliyowaislamu hayahusiani na chanjo kwa sababu waliyotengeneza hizo chanjo hawakutumia imani zao wala ukafiri wao.
Nkirejea hoja ya jamaa huko juu kwamba quran imeshindwa kutoa chanjo

Kwahyo ww unataka kuthitisha waliotengeneza chanjo wana ujuzi kuliko aliyeleta quran?
 
Kwahyo saudia itatumia chanjo za makafiri... kwann saudia km mji mtakatifu wa Allah itumie vtu vya taifa lisilomtambua Allah.[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimeuliza hivyo pia nimeshangaa Sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Yaani taifa la Mungu Lina saidiwa na taifa la watu wenye matendo ya shetani .. yaani Mungu anapewa msaada na shetani halafu karidhika kabisa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Tukisema shetani na Mungu lao 1 wanajuana ila wameamua kutuchanganya tutakuwa tunaongopa .... Hawa hawana hoja wanazingua tu
 
Mkuu in short haueleweki unaongea Nini
 
Quran haikuteremshwa kwa lengo hilo mkuu, Quran ni muongozo wa namna ya kuishi. Suala la kuvumbua hilo limewachwa kwa kila mtu. Ni sawa na vile mtu katengeneza kitu halafu akaandika maelezo ya namna ya kukitumia.
 
Kwanini mjuzi wa yote akujaribu ilhali anaweza kutumia huo ujuzi wake wa yote kutambua kila kitu ... Wewe hauoni hapo kuwa Huyo Mungu itakuwa hajitambui
 
Then Saudia sio kuliko na masheikh pekee, nakusahihisha hilo.
 
Haujathibitisha mjomba umehubiri tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Yaani ukija katika hiyo nadharia yako ndio utazidi kuibua mjadala kwamba Mungu nayeye ana Mungu wake .... Wewe aliyekuambia kwamba kila kilichopo duniani lazima kiwe na ambaye amesababisha kiwepo ninani !?
 
Kwanza ha wan a hasara maana waislamu hawatoi sadaka na fungu la kumi so mashehe hawapitezi kitu.
 
Huyu jamaa bwege kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…