#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

#COVID19 Misikiti mitano yafungwa Saudia baada ya waumini 7 kukutwa na Corona

Sas kilichoumbwa cha wezaje kuumba wakati aliekiumba hataki kiumbe. Chukua mfano mdog 2. Binadamu anatengeneza gari analiendesha ila gari halitengezi kitu mpaka aamue. Nd maan kuna computer ambayo kwa sehemu kubwa inaez perform baadhi ya operation kuunda k2.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] mfano wako mzuri Sana binaadamu aliyetengeneza gari kwa mujibu wako ameumbwa na Mungu sindio !??

Na Mungu na yeye aliye muumba binaadamu na yeye ana Mungu wake aliye muumba [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mimi nimeukubali uislamu nikiwa na umri wa miaka 15, kwa hio sifuati mkumbo. Na wala sijawaachia masheikh dini yangu, nimesoma na ni meutafuta ukweli.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yaani kwaakili zako timamu unamuamini mtu aliye tokewa sijui na mzimu pangoni ukambana mbavu halafu akaambiwa Anza kusoma baada ya hapo akaambiwa aanze kutangaza dini hivi wewe unaona Hilo linawezekana mbona mnamambo ya ajabu Sana nyie
 
Ila umesahau kitabu kitakatifu nacho kimeandikwa na mtu...
Hapo Sasa [emoji16][emoji16]

Tena Huyo mtu aliye andika vitabu vya dini vina sema kwamba binaadamu ana sifa ya kuwa ni kiumbe dhaifu ... So hoja fikirishi Ni kwamba ana uhakika gani Kama binaadamu Huyo Aliandika Mambo ambayo Ni sahihi wakati Ni kiumbe dhaifu huwenda ktokana na udhaifu wake alijikuta anaandika Mambo ambayo yapo kwaajili Utashi wa maslahi Yao tu
 
Yaani huo ndio utumwa uliobakia Africa [emoji16][emoji16][emoji16] utumwa wakukosa weledi wa kufikiri

Unapelekwa tu Kama ling'ombe utaambiwa yesu alipaa angani na kwenda mbinguni sijui Muhammad alipaa angani akaenda mbinguni ... Unatuambia Sasa thibitisha Jambo hili linawezekanaje !? Unaweza kututhibitishia kuwa Kuna mbingu na Kama ipo iko wapi [emoji38][emoji38]

Mtu anabaki kutoa toa macho tu then kwa kuwa walifundishwa ujinga huko Basi ataanza kukuambiaga wewe Ni kafiri yaani wanajiwekea defense mechanism
Sas hapa nd unakuja kumlaumu Mungu ukifa kwa magonjwa au ndugu zako wakipotea utaanza kusema sikua na hatia. Mungu hawezi ponya dunia nzima kwsababu mawazo kama haya yanaexist. Au unadhani Mungu anamuhutaji sana binadamu wakati anaweza umba mwingine. Au we unadhani alivoumba kipindi haumbi tena au hataumba tena? Wapi ameandika hatakuja kuumba tena? Jiongeze wewe imani ni untangable things you can not see or touch. Explain theory moja 2 kwann una chuki na dini na Mungu? Je unaeza nithibitishia hapo chuki inaonekanaje? Usilete story thibitisha. Afu umekariri eti waafrica pekee nd wanasali. Makao makuu ya sabato yako marekani, lutheran nadhani huko huko na mengne mengi. Catholic Vatican city Italy huko. Halafu dini haikuanzishwa na wazungu kama unavodai maan kwa mfano dini ya kikristo kipindi dini inaenea mtawala wa dunia hakuwa muisrael ila ni mrumi. Halafu mkoloni alitumia dini kutawala dunia sio nd kwamba nd lengo la dini kuwepo. Mkoloni alipenda jinsi kitabu kinavomjua mwanadamu inside out na Mungu sio kwamba ukishamtenda 2 hapo hapo unakula kibao cha uso. Hapana anaweza ruhusu ubaya wako uutimize kwa kutumia maneno yake nd maan kuna manabii wa uongo. Kwasababu kuna hukumu ya milele. Ahsante.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kosa kubwa ambalo mwanadamu anaweza kulifanya kama kufunga Kanisa. Kufunga Kanisa maana yake "umesarenda" kwa ibilisi. Shetani anachukua pointi tatu muhimu mezani mchana kweupe. Yaani ...

YESU NI BWANA NA MWOKOZI.
Kwa mujibu wako na bible
Hv mkuu aliyeleta hii corona ni Mungu au shetani? Hebu hapo kwanza kabla hatunaendelea
 
Dini zote mifumo ya uendeshaji ni ile ile tu... watu wanashindwa kuelewa dini ni taasisi hakuna taasisi inajiendesha kwa hasara...!!! U

Alafu kinachoniuma hawa watu weupe waliotuletea dini hawatupendi sana lkn sisi kutwa kujifananisha na wao...!!! Unakuta unaambiwa jina la kwako la kiasili mfn ngonyani halina baraka limelaaniwa lkn jina la emmanuel, joseph , mariam, muhammad, aisha, yusufu ndio yamebarikiwa na sisi tusivyokuwa na akili tunaamin ni kweli ila hutakuta mzungu pale london anajiita kimweli au mwarbu saudia anajiita kimario yani ni utumwa tu umetutawala alufu tunatakaka tuendelee km nchi za ng'ambo
Unapotosha ndugu. Yale majina yametajwa kwenye bible kuwa kuna watu na majina yao walikuwa wamebarikiwa. So sometimez mtu anaona bora ampe jina lile mwanae. Lakini mbeya kuna akna mwafilombe wengi 2 ni wachungaji. Hakuna dhambi katika jina dhambi ni moyoni.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]yaani kwaakili zako timamu unamuamini mtu aliye tokewa sijui na mzimu pangoni ukambana mbavu halafu akaambiwa Anza kusoma baada ya hapo akaambiwa aanze kutangaza dini hivi wewe unaona Hilo linawezekana mbona mnamambo ya ajabu Sana nyie
Isiwezekane kwanini? Kuna mambo ya beyond human limit. Mfano mwanadamu anashindwa na mbwa katika kunusa harufu, hawezi kuona mbali bila ya visaidizi
 
Hapo Sasa [emoji16][emoji16]

Tena Huyo mtu aliye andika vitabu vya dini vina sema kwamba binaadamu ana sifa ya kuwa ni kiumbe dhaifu ... So hoja fikirishi Ni kwamba ana uhakika gani Kama binaadamu Huyo Aliandika Mambo ambayo Ni sahihi wakati Ni kiumbe dhaifu huwenda ktokana na udhaifu wake alijikuta anaandika Mambo ambayo yapo kwaajili Utashi wa maslahi Yao tu
Mtume alikuwa hajui kusoma wala kiandika lkn mtume huyohuyo ana shushiwa aya kwa njia ya ndoto na sisi tunaziandika na tunaziamini...!! Lkn najiuliza ktk science kunakitu kinaitwa hallucination, delusion ambavyo ni dalili za mtu mwenye psychosis sawa najiulize je km huyu mtume alikuwa na psychosis tutajua!!!

Mfno leo hii kuna watu wenye Religion grandiousity delusion ambao wanajiita manabii...!!! Kwanza ukiona mtu anajiita nabii au mtume ki psychiatric huyo ni mgonjwa wa akili
 
Ni suala la kawaida sana muumini kuswali misikiti tofauti kwa siku,njia salama kuliko zote ni kufunga kabisa misikiti kwani linashindikana?
Sas una uhakika gani hawajazuia mambo kama hayo mbon unamuonea mtoa maada. Labda wamezuia watu kuswali bila utaratibu.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mbona unaongea blunder Hivi unaanzaje kukipima kitu Ambacho una uhakika nacho .. yaani wewe Ni mjuzi wa yote kwanini asitumie ujuzi wako wa yote kujua Imani za watu wako
Kitendo cha kuwapima kina dhihirisha kwamba wewe sio mjuzi wa yote ... So inamaana hauoni hizo contradiction Mungu gani anakuwa anajipinga pinga mwenyewe inamaana Hana uhakika wa anacho kiongea endapo tukisema kuwa Huyo Mungu Ni muongo tutakuwa tunakosea!?
Ndyo unaeza kukipima ili kijijue ni kijinga kiweke mpira chini ukipe madawa mbona simple. Hv huwa inatokeaga nn kama nchi ikawa ina ugaidi? Mbona tajiri anaeza muonesha Masikini ambae anamjua kabisa ni masikini alikuwa akimtegemea na kuamua kumkatia misaada kumyima misaada huo sio mtihani masikini kapewa?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Imani Ni suala linalo taka uamini kitu au Jambo bila fact Wala logic ...so Mimi siwezi kufuata huo mkumbo kwa sababu Ni wajinga tu na wapumbavu ndio wanaoweza kuamini kitu / jambo bila fact Wala mantiki

Mfano ukiambiwa yunusi alinezwa na samaki halafu alitoka tumboni kwa samaki akiwa mzima Basi uamini tu bila logic wakati hicho Ni kitu Ambacho hakiwezekani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hakiwezekani au wewe hujawahi kishuhudia?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ndyo unaeza kukipima ili kijijue ni kijinga kiweke mpira chini ukipe madawa mbona simple. Hv huwa inatokeaga nn kama nchi ikawa ina ugaidi? Mbona tajiri anaeza muonesha Masikini ambae anamjua kabisa ni masikini alikuwa akimtegemea na kuamua kumkatia misaada kumyima misaada huo sio mtihani masikini kapewa?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Hivi umeelewa hata ulicho kiandika Soma kwanza mkuu

Halafu uwezo wa Huyo Mungu muweza wa yote unaufana nishaje na binaadamu ambaye Hana sifa ya uweza wa yote binaadamu kwa kuwa Hana hiyo sifa Ni haki yake' kupima kitu au Jambo ili aweze kuwa na uhakika nalo kwa sababu Hana uwezo wa yote angekuwa nao Wala asingekuwa anapoteza muda wake kukipima kitu Ambacho ana kijua kuwa matokeo yake' Ni haya .... Huyo Mungu wenu ana onyesha kwamba Ni muongo na utendaji wake hauna tofauti na binaadamu ambaye hajui yote so kwa mantiki hiyo Hana sifa zinamfanya aitwe Mungu
 
Mtume alikuwa hajui kusoma wala kiandika lkn mtume huyohuyo ana shushiwa aya kwa njia ya ndoto na sisi tunaziandika na tunaziamini...!! Lkn najiuliza ktk science kunakitu kinaitwa hallucination, delusion ambavyo ni dalili za mtu mwenye psychosis sawa najiulize je km huyu mtume alikuwa na psychosis tutajua!!!

Mfno leo hii kuna watu wenye Religion grandiousity delusion ambao wanajiita manabii...!!! Kwanza ukiona mtu anajiita nabii au mtume ki psychiatric huyo ni mgonjwa wa akili
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] hajui kusoma Wala kuandika halafu anawapa maono yake' watu wamuandikie so alikuwa anauhakika upi kuwa kile kinachoandikwa na hao aliowapa maelekezo ndio hicho hicho alichokiota ndotoni
 
Isiwezekane kwanini? Kuna mambo ya beyond human limit. Mfano mwanadamu anashindwa na mbwa katika kunusa harufu, hawezi kuona mbali bila ya visaidizi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Huyo aliye mbana mbavu kwanini asingembana mbele za watu wote wakiwa wanaona ili Iweze kuwa ithibati sahihi

What if Huyo muhamad alikuwa ametunga tu uongo wake au alikuwa amepandwa na malaria kichwani so akawa ana ongea vitu vya ajabu ajabu kwa sababu ya kubanwa na homa [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Muhammad hakujua kusoma wala kuandika, na yaliomo ndani yake haiwezekani kuwa aliyaandika yeye, au kutoa katika vitabu vilivyo pita.
 
Kwa mujibu wako na bible
Hv mkuu aliyeleta hii corona ni Mungu au shetani? Hebu hapo kwanza kabla hatunaendelea
Aliyeleta corona ni shetani ila ni kwa kibali cha Mungu ili "kukinyoosha kiburi cha mwanadamu"

Pia ni unabii unatimia.

JESUS IS LORD!
 
Back
Top Bottom