Misri na Israel waanza kupigana Rafah. Askari wa Misri afa

Kuamini Mungu sio lazima uwe na dini, mumekaririshwa vibaya. Dini ni biashara tu na zililetwa na wanadamu.
Ko Mungu huyo utamuamini kupitia nini,,,,,,!!!!

Kwa msaada tu, dini ni mfumo wa maisha ya mwanadamu ambao anaufuata kila siku, yawezekana akawa amepewa au amejiamria mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…