Chinese blade
JF-Expert Member
- May 15, 2023
- 337
- 366
Ko Mungu huyo utamuamini kupitia nini,,,,,,!!!!Kuamini Mungu sio lazima uwe na dini, mumekaririshwa vibaya. Dini ni biashara tu na zililetwa na wanadamu.
Kwa msaada tu, dini ni mfumo wa maisha ya mwanadamu ambao anaufuata kila siku, yawezekana akawa amepewa au amejiamria mwenyewe.