Misri wameisaidia pakubwa Israel kupigana na Hamas. Bila msaada huo pamoja na mataifa makubwa ya Ulaya, Israel ingekimbia vita mapema

Ndiyo maana Mohammed mursi aling'olewa ili kibaraka akae,angekua mtawala ni mursi na hii vita imetokea,mbona pangenoga
Huyo Gaidi Mursi alifurushwa kutokana na siasa zake mufilisi zilizoegemea kwenye udini na kitu ambacho kimechawosha wamisri
 
Morsi hakuwa kipenzi Cha USA na wenzie,maana ni pro Islam na Palestine,alikua Muslim brotherhood,hiyo ni hatari kwa Israel,so jeshi likapora mamlaka
Watu wenye akili timamu hawawezi kuruhusu magaidi yaongoze nchi. Mursi alikua anataka kuigeuza misri kama Lebanon au Yemen kwa kuifanya Muslim brotherhood iwe na nguvu kama Hezbollah
 
Mashariki ya kati itakalika siku ambayo Iran & Saudi Arabia 🇸🇦 watakaporudisha mahusiano ya moja kwa moja ya kidiplomasia. Na huo utakuwa mwisho wa Israel na mashoga zake wanaoteteresha amani ya ukanda ule.
Israel na Saudi Arabia ni ndugu. Hilo LA Iran na Saudi Arabia kupatana halipo.
 
Kitu ambacho hamjui wa misri ni wayahudi. Damu nzito kuliko maji. Hakuna mtu anayependa ndugu yake aangamie haya mambo ya dini watu waliostaarabika huwa hawafanyi kuwa ni kigezo Cha kumchukia ndugu yake. Lakini ngozi nyeusi ❗❗❗❗ omera😀😀
 
Ndiyo maana Mohammed mursi aling'olewa ili kibaraka akae,angekua mtawala ni mursi na hii vita imetokea,mbona pangenoga
Hata visingetokea kamwe.Netanyahu asingeweza kuamrisha jeshi kuingia Gaza akijua kuna Hamas na atapata wasaidizi.
Kinyume chake amepigana na kundi lililotelekezwa na kila mtu na kubaki peke yao huku mipaka ikifungwa na kunyimwa maji na chakula.
 
Unauwakika
 
Shida ya Mashariki ya Kati ni Uislam/utawala wa Iran

Wanaamini kila nchi ya Mashariki ya Kati inatakiwa iwe na mapinduzi kama ya Iran na Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah awe mkuu wao.

Hili kufanikisha Hilo lazima falme zote za Middle East zife
Nchi za mashariki ya kati zote ni nchi za kiislamu na uislamu haukubali tawala za kifalme.Japo pia tawala hizo hazikidhi vigezo vya kidemokrasia vinavyosimamiwa na Ulaya na kulazimishwa mataifa maskini ya kiafrika lakini bado tu tawala hizo zinapendwa na wazungu kwani zinawafaa kuwakandamiza waislamu na kurahisisha kuchota mali zao.
 
Morsi hakuwa kipenzi Cha USA na wenzie,maana ni pro Islam na Palestine,alikua Muslim brotherhood,hiyo ni hatari kwa Israel,so jeshi likapora mamlaka
Morsi alikuwa msomi wa Marekani na injinia mkubwa sana.Israel walijua yule angewaamsha waarabu wote kama alivyokuwa Gadafi kwa Afrika na ingekuwa sababu ya ushawishi wao wa kiuchumi na kiteknolojia kuporomoka au kwenda sambamba nao.
Habari za kutengeneza ndege na makombora ya masafa marefu kwa Misri na nchi hizo lingekuwa ni jambo jepesi sana.
Hawa washenzi wengine akina mwanamfalme anatengeneza maeneo ya mashoga kuja kufanya uchafu tu.Pumbavu kabisa.
 
Mbona udugu wa kiislamu unatakiwa uwe mkubwa kuliko wa damu na kuna watu wamewawacha ndugu zao wauliwe kama hawawaoni na hawawasikii wakipiga mayowe usiku na mchana kwa miezi 9 sasa.
 
Issue ni Ushia and nothing else.
 
Usiishau Saudi Arabia na Jordan!
Na hao wanajulikana tangu mwanzo lakini kwa Misri wamefanya kufru za unafiki zaidi mpaka mayahudi wanaanza kuvujisha siri kwa shukran kwao.
 
Lini misri ilikua nchi ya kidini mpaka wamisri wachoke!?.. wamisri gani waliomchoka ikiwa alishinda uchaguzi kwa kishindo!?..uwe na fact,siyo unakurupuka Kama uharo
Tatizo la Misri ni kama lile la Aljeria.Uchaguzi wa kidemokrasia unahimizwa na pindi watu wakiwachagua wenye mrengo wa kiislamu inakuwa nongwa na njama zinaanza kuwaondoa washindi.
 
Lini misri ilikua nchi ya kidini mpaka wamisri wachoke!?.. wamisri gani waliomchoka ikiwa alishinda uchaguzi kwa kishindo!?..uwe na fact,siyo unakurupuka Kama uharo
Baada ya kumfurusha gaidi nchi imetulia sasa chini ya jemedari Al sisi.
Uchumi Uko vizuri na mambo yanaenda
 
Mara nyingi makamanda wakuu wa jeshi la Misri wanakuwa ni wapwa wa Israeli ndio maana wapalestina hawapati nsaada
 
Mbona udugu wa kiislamu unatakiwa uwe mkubwa kuliko wa damu na kuna watu wamewawacha ndugu zao wauliwe kama hawawaoni na hawawasikii wakipiga mayowe usiku na mchana kwa miezi 9 sasa.
Huo Uislam ni hypothetical propaganda. Undugu ni damu. Usije kulogwa hata siku Moja kugombana na ndugu yako wa damu kisa tofauti za kidini. Chukua hiyo itakuja kunishukuru mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…