Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Binadamu wabishi waacheni wanyoshane kidogo...Vibaya hivooo lo watu wanakufa wee unasema acha wanyoshane!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binadamu wabishi waacheni wanyoshane kidogo...Vibaya hivooo lo watu wanakufa wee unasema acha wanyoshane!
Huyo Gaidi Mursi alifurushwa kutokana na siasa zake mufilisi zilizoegemea kwenye udini na kitu ambacho kimechawosha wamisriNdiyo maana Mohammed mursi aling'olewa ili kibaraka akae,angekua mtawala ni mursi na hii vita imetokea,mbona pangenoga
Watu wenye akili timamu hawawezi kuruhusu magaidi yaongoze nchi. Mursi alikua anataka kuigeuza misri kama Lebanon au Yemen kwa kuifanya Muslim brotherhood iwe na nguvu kama HezbollahMorsi hakuwa kipenzi Cha USA na wenzie,maana ni pro Islam na Palestine,alikua Muslim brotherhood,hiyo ni hatari kwa Israel,so jeshi likapora mamlaka
Lini misri ilikua nchi ya kidini mpaka wamisri wachoke!?.. wamisri gani waliomchoka ikiwa alishinda uchaguzi kwa kishindo!?..uwe na fact,siyo unakurupuka Kama uharoHuyo Gaidi Mursi alifurushwa kutokana na siasa zake mufilisi zilizoegemea kwenye udini na kitu ambacho kimechawosha wamisri
Israel na Saudi Arabia ni ndugu. Hilo LA Iran na Saudi Arabia kupatana halipo.Mashariki ya kati itakalika siku ambayo Iran & Saudi Arabia 🇸🇦 watakaporudisha mahusiano ya moja kwa moja ya kidiplomasia. Na huo utakuwa mwisho wa Israel na mashoga zake wanaoteteresha amani ya ukanda ule.
Kitu ambacho hamjui wa misri ni wayahudi. Damu nzito kuliko maji. Hakuna mtu anayependa ndugu yake aangamie haya mambo ya dini watu waliostaarabika huwa hawafanyi kuwa ni kigezo Cha kumchukia ndugu yake. Lakini ngozi nyeusi ❗❗❗❗ omera😀😀Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na vita vya Gaza lakini kiundani utawala wa nchi hiyo umefanya njama na Israel kuiachia iipige Hamas wakihofia nguvu za Hamas kubaki na kuingia nchini Misri.
Baadhi yetu tulishawahi kutilia shaka namna Israel ilivyoweza kupeleka vikosi mpaka kwenye lango la kuingia Gaza huko Rafah bila upinzani wa maana kutoka Misri. Muda mfupi baada ya hapo jeshi hilo la Israel likaweza kuuchukua ukanda wote wa Philadephi ambao ndio mpaka pekee Gaza unaopakata na taifa la nje mbali na Israel.
Kwa maana hiyo Misri itakuwa haikuhusika na kupigwa kwa kundi la Hamas peke yake bali na mauwaji ya maelfu ya wapalestina na uharibifu wa eneo lote la Gaza ambapo uharibifu wake unazidi hata ule uliotokea maeneo ya Bakhmut na Mariupol nchini Ukraine.
Kudhihirisha kuwa Hamas na wenzao hawapigani na Israel peke yao ni kuwa hata sasa nchi tano za Ulaya na Markani zimeendelea kupinga hukumu ya mahakama ya ICCJ inayotaka Netanyahu akamatwe na kushitakiwa.
Wapiganaji hao wa Gaza wamekatiwa misaada yote ya silaha na chakula lakini la kushangaza mpaka sasa hawajasalimu amri na wanaendelea kupigana.
Hata visingetokea kamwe.Netanyahu asingeweza kuamrisha jeshi kuingia Gaza akijua kuna Hamas na atapata wasaidizi.Ndiyo maana Mohammed mursi aling'olewa ili kibaraka akae,angekua mtawala ni mursi na hii vita imetokea,mbona pangenoga
UnauwakikaVita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la Haaretz limetoa siri kwamba Misri imekuwa ikitamka hadharani kuwa ina uhasama na Israel kuhusiana na vita vya Gaza lakini kiundani utawala wa nchi hiyo umefanya njama na Israel kuiachia iipige Hamas wakihofia nguvu za Hamas kubaki na kuingia nchini Misri.
Baadhi yetu tulishawahi kutilia shaka namna Israel ilivyoweza kupeleka vikosi mpaka kwenye lango la kuingia Gaza huko Rafah bila upinzani wa maana kutoka Misri. Muda mfupi baada ya hapo jeshi hilo la Israel likaweza kuuchukua ukanda wote wa Philadephi ambao ndio mpaka pekee Gaza unaopakata na taifa la nje mbali na Israel.
Kwa maana hiyo Misri itakuwa haikuhusika na kupigwa kwa kundi la Hamas peke yake bali na mauwaji ya maelfu ya wapalestina na uharibifu wa eneo lote la Gaza ambapo uharibifu wake unazidi hata ule uliotokea maeneo ya Bakhmut na Mariupol nchini Ukraine.
Kudhihirisha kuwa Hamas na wenzao hawapigani na Israel peke yao ni kuwa hata sasa nchi tano za Ulaya na Markani zimeendelea kupinga hukumu ya mahakama ya ICCJ inayotaka Netanyahu akamatwe na kushitakiwa.
Wapiganaji hao wa Gaza wamekatiwa misaada yote ya silaha na chakula lakini la kushangaza mpaka sasa hawajasalimu amri na wanaendelea kupigana.
Nchi za mashariki ya kati zote ni nchi za kiislamu na uislamu haukubali tawala za kifalme.Japo pia tawala hizo hazikidhi vigezo vya kidemokrasia vinavyosimamiwa na Ulaya na kulazimishwa mataifa maskini ya kiafrika lakini bado tu tawala hizo zinapendwa na wazungu kwani zinawafaa kuwakandamiza waislamu na kurahisisha kuchota mali zao.Shida ya Mashariki ya Kati ni Uislam/utawala wa Iran
Wanaamini kila nchi ya Mashariki ya Kati inatakiwa iwe na mapinduzi kama ya Iran na Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah awe mkuu wao.
Hili kufanikisha Hilo lazima falme zote za Middle East zife
Morsi alikuwa msomi wa Marekani na injinia mkubwa sana.Israel walijua yule angewaamsha waarabu wote kama alivyokuwa Gadafi kwa Afrika na ingekuwa sababu ya ushawishi wao wa kiuchumi na kiteknolojia kuporomoka au kwenda sambamba nao.Morsi hakuwa kipenzi Cha USA na wenzie,maana ni pro Islam na Palestine,alikua Muslim brotherhood,hiyo ni hatari kwa Israel,so jeshi likapora mamlaka
Mbona udugu wa kiislamu unatakiwa uwe mkubwa kuliko wa damu na kuna watu wamewawacha ndugu zao wauliwe kama hawawaoni na hawawasikii wakipiga mayowe usiku na mchana kwa miezi 9 sasa.Kitu ambacho hamjui wa misri ni wayahudi. Damu nzito kuliko maji. Hakuna mtu anayependa ndugu yake aangamie haya mambo ya dini watu waliostaarabika huwa hawafanyi kuwa ni kigezo Cha kumchukia ndugu yake. Lakini ngozi nyeusi ❗❗❗❗ omera😀😀
Issue ni Ushia and nothing else.Nchi za mashariki ya kati zote ni nchi za kiislamu na uislamu haukubali tawala za kifalme.Japo pia tawala hizo hazikidhi vigezo vya kidemokrasia vinavyosimamiwa na Ulaya na kulazimishwa mataifa maskini ya kiafrika lakini bado tu tawala hizo zinapendwa na wazungu kwani zinawafaa kuwakandamiza waislamu na kurahisisha kuchota mali zao.
Tatizo la Misri ni kama lile la Aljeria.Uchaguzi wa kidemokrasia unahimizwa na pindi watu wakiwachagua wenye mrengo wa kiislamu inakuwa nongwa na njama zinaanza kuwaondoa washindi.Lini misri ilikua nchi ya kidini mpaka wamisri wachoke!?.. wamisri gani waliomchoka ikiwa alishinda uchaguzi kwa kishindo!?..uwe na fact,siyo unakurupuka Kama uharo
Baada ya kumfurusha gaidi nchi imetulia sasa chini ya jemedari Al sisi.Lini misri ilikua nchi ya kidini mpaka wamisri wachoke!?.. wamisri gani waliomchoka ikiwa alishinda uchaguzi kwa kishindo!?..uwe na fact,siyo unakurupuka Kama uharo
Morsi alitawala muda gani Hadi uchumi uyumbe!?..acha upunguaniBaada ya kumfurusha gaidi nchi imetulia sasa chini ya jemedari Al sisi.
Uchumi Uko vizuri na mambo yanaenda
Huo Uislam ni hypothetical propaganda. Undugu ni damu. Usije kulogwa hata siku Moja kugombana na ndugu yako wa damu kisa tofauti za kidini. Chukua hiyo itakuja kunishukuru mbeleniMbona udugu wa kiislamu unatakiwa uwe mkubwa kuliko wa damu na kuna watu wamewawacha ndugu zao wauliwe kama hawawaoni na hawawasikii wakipiga mayowe usiku na mchana kwa miezi 9 sasa.
Hakutakiwa kutawala kabisa ndio maana walimfurusha mapema.Morsi alitawala muda gani Hadi uchumi uyumbe!?..acha upunguani