Misri yakataza vazi la Niqab katika shule za Serikali

Kwani we hanithi? Amtamanie mwanamke basi kazini naye ' Angalau wanatakiwa kujistiri.

Jaalia unamuona mtu kama mama ako ,shangaI yako au dada ako anavaa kama makahaba wanaojiuza eti labda kanisani au siku ya kawaida ,je unajisikiaje?
Kwa hiyo wewe unawaza mapaja tu! Wewe kijana inaonekana kwa chini ni moto sana!
 
Wapi wanacheza mpira? Kila mmisri au muarabu ni muislamu?

Jamaa mshamba wa wapi wewe?[emoji23][emoji23]anyefuata amri za uislamu ndio muislamu ..

Kaangalie hata africa yupo anavaa hijabu yule ni muislamu.

Kwani yale majina wanaayotumia wakicheza mpira hatuyaoni ni waislamu? Acha kujificha kwenye kichaka, toka hadharani mshamba wewe!
 
Kwani yale majina wanaayotumia wakicheza mpira hatuyaoni ni waislamu? Acha kujificha kwenye kichaka, toka hadharani mshamba wewe!
Uislamu ni majina😂😂anayefuata uislamu ndio muislamu...
 
Hujajobu swali! Na ulisikia wapi dini inasema mwanaume aoe rundo la wanawake kama siyo umalaya huo?
Ilo swali ungeuliza basi mapema upewa majibu sasa nikuonyesha kwamba sisi tumeruhusiwa au ?

Mtume suleiman ilikuwaje huko kweny bible ?
 
Acha Uongo Abdel Fattah el-Sisi, siyo Myahudi. Kwanini nyinyi watu mnapendaga kuzusha Uongo, ndivyo dini yenu imewafunza?
Ona hili bandiko
View attachment 2749460
Sasa kwa fuvu lako hilo umeona hii qoura ni ya kuamini
Habari ya Al Sisi ilitangazwa alipopata urais na baba yake ni muislam mfanyabiashara ambae alikuwa anaenda mpaka morocco
Kama mama yake ni myahudi wa morocco kuna shida gani?

Yeye hakukanusha wala kukubali wewe ambae hujui asili yako au umeikana shauri yako
Ila watu wanajisifia na kufurahia asili yao mbona kina Mark Zuckerberg hampingi?

Hapa unaingiza dini kwa akili yako fupi
Wewe weka hapa babu yako asili yake, huwezi kwa sababu mswahili na tabia ya kuficha asili ni kawaida sana

Umeenda kuleta Habari za wanaijeria ukajiona mjanja poor you
Watu kama nyie tunawajua udini na chuki umekuingia sana na kuona kila kitu ni kutetea dini
Get a fuckin life boy
 
Nasubili wale Muslim hardliners, Islamist waje hapa! Wale waliomshinikiza Mkapa watoto wa kike wavae hijab mashuleni,na wakataka hata askari wa kike wavae hijab!
 
Nasubili wale Muslim hardliners, Islamist waje hapa! Wale waliomshinikiza Mkapa watoto wa kike wavae hijab mashuleni,na wakataka hata askari wa kike wavae hijab!
= nasubiri.

Hapa haiongelewi hijab inaongelewa niqab.

Kama huelewi niqab ni nini, ni ile uliyovaa bila kupenda wakatiwa corona. Unaikumbuka au hujaikumbuka?
 
= nasubiri.

Hapa haiongelewi hijab inaongelewa niqab.

Kama huelewi niqab ni nini, ni ile uliyovaa bila kupenda wakatiwa corona. Unaikumbuka au hujaikumbuka?
Kelele za Islamaphobia mbona sizisikii hapa kwa Misri?
 
Kelele za Islamaphobia mbona sizisikii hapa kwa Misri?
Niqab unaifahamu? Au mradi uchokoze Waislam tu?

Mbingu yako huipati mpaka uchokoze Waislam? Au unapenda kuujuwa Uislam?

Nakushauri uliza maswali yaliyokuwa chanya tupate kufaidika wote, kuwa hasi hakukuzidishii ila maumivu ya moyo tu.
 
Hiyo niqab ndio nini kwa tusiojua kiarabu, ila Misri ni watu wenye akili sana sijui waliingiaje kwenye uzombi wa dini, wao na Iran wako vizuri sana sema dini imewalemaza.
 
Hiyo niqab ndio nini kwa tusiojua kiarabu, ila Misri ni watu wenye akili sana sijui waliingiaje kwenye uzombi wa dini, wao na Iran wako vizuri sana sema dini imewalemaza.
Niqab ni ile uliyokuwa unaivaa wakati wa corona, ukipenda usipende.

Umeijuwa sasa?

Ina manufaa yake ikitumika vizuri na ina matatizo yake ikitumika vibaya.

Wewe huna dini? Au huna imani na dini?
 
Kelele za Islamaphobia mbona sizisikii hapa kwa Misri?
Hawa watu ni wanafki kwa kiwango cha kokoto.
Bila utapeli hiyo Dini itakufa.

Sasa wanaiita Niqab kama ni Sunna ya Mtume na haina ulazima wa kuivaa kichwani.
Waulize sasa Hijabu sio Sunna ?

Kuna siku walivunja majumba yetu kisa hijabu inataka kukatazwa, hijabu ambayo ni Sunna pia.

Islam without lies dies.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…