Miss chagga bring back my hazbendi

Jamani mom pole...siku zote nakuuliza dady yuko wapi hunambii ukweli kumbe katekwa na mwanamke.. miss chaga emu mwambie baba arudi nyumbani mambo gani hayo unafanya....

Asante douta...baba yako huyu ameniweza haswaaa
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Asante douta...baba yako huyu ameniweza haswaaa

Jamanii mamii wangu sipendi kuona ukiumia hivo, me sikubali nitafanya mbinu yeyote baba arudi usiwaze my dear mom wanao tunakupenda tuko pamoja...
 
Jamanii mamii wangu sipendi kuona ukiumia hivo, me sikubali nitafanya mbinu yeyote baba arudi usiwaze my dear mom wanao tunakupenda tuko pamoja...

Fanya hivyo my douta kuniponya mi mama yako
 
Inaonyesha Ntuzu atakua na fedha sana hadi miss chagga amekubali kuchepukiwa

huwa namwibia usiiku mchoyo kutoa kwa hiyari anatoa kwa ngumi.... Ntuzu unakumbuka juzi ulivyotaka kukojoa nikakubana nikakwambia toa milioni moja umalizie ukaandika cheki faster kama hana akili nzuri.. mwekundu acha kabisa makojozi ni nouma
 
Last edited by a moderator:
huwa namwibia usiiku mchoyo kutoa kwa hiyari anatoa kwa ngumi.... Ntuzu unakumbuka juzi ulivyotaka kukojoa nikakubana nikakwambia toa milioni moja umalizie ukaandika cheki faster kama hana akili nzuri.. mwekundu acha kabisa makojozi ni nouma

mhhhhhhhhhhh dont try this Home mke ICHANA (censored)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…