miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
tobaaa....
Kwan we ni bikra mbona unashtuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tobaaa....
First Born baba mkwe atakufa nikimwacha Ntuzu njoo useme kama hutazikwa mapema.... Khantwe mkewe ni shida mwanamke anamaneno ya kubomoa tu hajui kubembeleza
Kwan we ni bikra mbona unashtuka?
hivi kumbe wachaga wanajua kubembeleza? nataenda kilema..
huyo atakuwa mnafiki.
hivi huyu miss chagga anajua sana mapenzi au anajua sana kuchuna? mbona anavuruga sana ndoa za watu?
mama mkwe Khantwe nimemtuma romantic eyes akuletee kamzigo fulani
dawa ya miss chagga ni moja tu.. piga shoka ukimkuta na baba mkwe Ntuzu...
Asante my mkwe....huyu mwanamke dawa yake inachemka we ngoja
Inaonyesha Ntuzu atakua na fedha sana hadi miss chagga amekubali kuchepukiwa
Asante douta...baba yako huyu ameniweza haswaaa
punguza jazba.. wait nitamtafuta anaejua kupiga shoka vizuri.. nitakuletea taarifa za kula pilau...
Inaonyesha Ntuzu atakua na fedha sana hadi miss chagga amekubali kuchepukiwa
punguza jazba.. wait nitamtafuta anaejua kupiga shoka vizuri.. nitakuletea taarifa za kula pilau...