Miss chagga bring back my hazbendi

Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nilikuwa kwenye mchakato wa kuufanyia kazi.... Hakikisha huondoki tena la sivyo unakatwa kidizaini flan



Hahahahaaaa

Swty wangu wewe ni wakunifaniyia hivyo kweli?

Miss u swty so much!
 
Binti yangu janeth 1 nimekuja mtoto wangu!
Mr Rocky huyu miss chagga ni cha wote
Tized wapi Kasinde wapi wangu?[/QUOTE]

Ntuzu hapo hapo ndio ninapompendea miss chagga hakupi stress wala kuwaza leo yuko kwa nani
We unapomuhitaji anakuja fasta wala hakawii na wala hakufungi kwenda kwa Khantwe wala Kasinde we jiendee tuu ila ukimuhitaji mdeep tuu anakuja fasta
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…