Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu mpnz Khantwe tulia moyo miss chagga hawezi niiba!
Binti yangu janeth 1 nimekuja mtoto wangu!
Mr Rocky huyu miss chagga ni cha wote
Tized wapi Kasinde wapi wangu?
Jamani my hazbendi.....ni wewe kweli? Daaah hata siamini macho yangu.
Nilikuwa kwenye mchakato wa kuufanyia kazi.... Hakikisha huondoki tena la sivyo unakatwa kidizaini flan
Hahahahaaaa
Swty wangu wewe ni wakunifaniyia hivyo kweli?
Miss u swty so much!
Mke wangu mpnz Khantwe tulia moyo miss chagga hawezi niiba!
Binti yangu janeth 1 nimekuja mtoto wangu!
Mr Rocky huyu miss chagga ni cha wote
Tized wapi Kasinde wapi wangu?
Binti yangu janeth 1 nimekuja mtoto wangu!
Mr Rocky huyu miss chagga ni cha wote
Tized wapi Kasinde wapi wangu?
Ndo usiondoke tena kwenda kwa miss chagga swty