figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
chit chat inaaksi maisha halisi ya kila siku tofauti ni kwamba hatuonani tu. ukiona mtu ametulia chit chat jua hata uraiani ni hivyo hivyo. Cc: Heaven on earth. Lady doctor. miasijamtisha bestito nimemwambia kuwa wewe ni mke wa wa figganigga na ndoa ilifungwa hata wiki 2 hazijapita?
unahofu ya nini ..kampuni ni KH security guard walimbwende watakua salama
teh teh teh... nina wasiwasi sana na kampuni yako hiyo, sidhani kama warembo watakuwa salama....unahofu ya nini ..kampuni ni KH security guard walimbwende watakua salama
leta cv zako..shart lzm uwe umepitia mgambokumbe umefungua kampuni hiyo niunganishe nami
watakua SALAMA wao na MALI zao..usiwe na chembe ya shakateh teh teh... nina wasiwasi sana na kampuni yako hiyo, sidhani kama warembo watakuwa salama....
leta cv zako..shart lzm uwe umepitia mgambokumbe umefungua kampuni hiyo niunganishe nami
watakua SALAMA wao na MALI zao..usiwe na chembe ya shaka...teh teh teh... nina wasiwasi sana na kampuni yako hiyo, sidhani kama warembo watakuwa salama....
leta cv zako..shart lzm uwe umepitia mgambo
watakua SALAMA wao na MALI zao..usiwe na chembe ya shaka
leta cv zako..shart lzm uwe umepitia mgambo
watakua SALAMA wao na MALI zao..usiwe na chembe ya shaka
chit chat inaaksi maisha halisi ya kila siku tofauti ni kwamba hatuonani tu. ukiona mtu ametulia chit chat jua hata uraiani ni hivyo hivyo. Cc: Heaven on earth. Lady doctor. mia
Mi mepiga kwata tuu je naruhusiwa
ondoa shaka nini kupitia mgambo, mwenzio nilipomaliza shule zama zile
tulipelekwa jkt kujinoa hivyo niko kamili gado
nitakupa pale lthp cv zangu au wataka leo niandae?
cousini achana naye atakupotezea wakati wako bure
hee nimeona pale juu shem kamuweka charminglady alishike taji
hilo waonaje tuanze kumpigia kura ili awe nalo yeye?
Mie nataka nimvishe mwingine cousin! MWeeeh, taji lenyewe zitoooooo!!!!!!!!!!
Unajua kutumia gobore
Mie nataka nimvishe mwingine cousin! MWeeeh, taji lenyewe zitoooooo!!!!!!!!!!
chit chat inaaksi maisha halisi ya kila siku tofauti ni kwamba hatuonani tu. ukiona mtu ametulia chit chat jua hata uraiani ni hivyo hivyo. Cc: Heaven on earth. Lady doctor. mia
Huyu jamaa anataka kujifanya mwenyekiti wakati ana kashfa za kutosha!bora hicho kiti uchukue wewe maana huyu BABU
kaniletea mkosi na balaa home kwetu mchana kweupeee
halafu anasema kuwa mie nimeji........ kwake, anataka
nipewe talaka 3 na m'a husband bure, wakati daddy watu8
alishakula ng'ombe na mikeje, na milembe ya watu wakati ule,
kaka ananitakia mema huyu ni ananitakia majanga bure