MISS CHITCHAT NOV 2013 KUJIANDIKISHA NI SASA!! Warembo Wote Don't miss!!!

Updates: Mwenyekiti wa CC ni Erickb52 na Excellent anapaswa kulipa faini haraka iwekanavyo, ASAP.

Duuh.. Haya mapinduzi ni kiboko lol.. Kwani hiki cheo kinaendana na maslahi gani..? Kuna kusafiri sana nje au..? Ati Baba V nijuze maana nimesafiri kidogo tu kurudi mapinduzi mengine haya..
 
Last edited by a moderator:
Updates: Mwenyekiti wa CC ni Erickb52 na Excellent anapaswa kulipa faini haraka iwekanavyo, ASAP.

Naomba tu nikuulize bwana RAISI with due respect... Hii vita unayoianzisha utaiweza???? Najua uwepo wangu madarakani hautegemei hata chembe cheo chako na mipaka ya madaraka inaeleweka na sijawahi kugusa mamlaka yako.. DO YOU TRY ME...!? Uko comfortable sana kwenye cheo chako na sas unataka uanzishe chokochoko....???? Mi mwenzio nimezoea , huwa watu wanajitangaza UENYEKITI kama unavyofanya wewe and still I'm there..... Nakushauri tu.... Don't drag me into that.... Ntawahamisha kanda ya Kaskazini kwa lazima in less than Six hours wewe na huyo unayetaka kutumia cheo chako kumpandikiza hapa....
C.C Erickb52
 
Duuh.. Haya mapinduzi ni kiboko lol.. Kwani hiki cheo kinaendana na maslahi gani..? Kuna kusafiri sana nje au..? Ati Baba V nijuze maana nimesafiri kidogo tu kurudi mapinduzi mengine haya..

Mkuu sosoliso nimeshamtwanga WARAKA huyo raisi, ajue mipaka yake na asidhani kwamba nafasi yake ni "untouchable". Akitaka kujua raha ya mapinduzi "I will give him that", Mwenzie ajue nime survive mapinduzi zaidi ya mara saba na kila tukio linazidi kuniimarisha zaidi.
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa hivi hujajua kuwa huna cheo tangu nikupindue?
Hili la Arushaone ni msumari wa moto tu ila hukubaliki tena Baba V acha kuwa kama Mugabe meeen!
Acha watu waenjoy matunda ya vijana wao ebooo!
Nitaongea na Arushaone akutafutie nafasi hata ya uzee wa baraza wewe na Mamndenyi

Cc Filipo
 
Last edited by a moderator:

halafu wewe, ile kitu nimeiona teh...teh, nimefurahi ujue na kesho tena hahahaaa!
 
Last edited by a moderator:

Ame cros line ...kinafuata
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…