Mie kamati ya ulinzi ,kulinda zawadi za sherehe
Baby baby
ngoja pedeshe aje
Mpaka tarehe 28 mwezi huu tunakusanya majina ya wadadaz wote walioshiriki kwa namna moja au ingine kwenye thread hii, tunawapanga mafungu ya A-B-C-D etc afu wanaanza kupiga kampeni baada ya hapo watabaki wawili kila kundi jumla 8 ndio watakaokuwa wameingia robo fainali, then watabaki wanne (nusu fainali) na afu baadae watabaki wawili ambao nao watapigiwa kura na mwisho wa mwezi November tutahesabu kura zao na kumtangaza MISS CHIT-CHAT.
Swali la nyongeza unakaribishwa mkuu.
Mkuu wangu....nashauri sherehe ifanyike next week ila kamati ya maandalizi iundwe mapema iwezekanavyo....!
Nitaiandaa then nitakupa uipitie kabla ya kuipa go ahead!
Cc Lady doctor Chocs
Na mie Bishanga atanichagua
Haahaha my wii huo ni utani tu na mke mwenza Lady doctormy wiii kulikoni maneno yanakutoka utafikiri ujafungwa breki?
kwanini mnagombana na wifi yako hivyo? samehaneni bhana
Mwaaaaaaah badae kuleeeNiambieeee
Mke mwenza mekumiss lakini...siku hizi unapita tuu hata husalimiimamaa nitakusemea kwa mume wangu, muone kwanza ndio maana umetabasamu kama unalia vilee